Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Humjui yule dada anaitwa Kate milaya anajisifia huko instagram kazaa na bulldozer juzi kazindua smart house pia anamiliki range, hana kazi yoyote mjiniHapa ungeelezea vizuri Mkuu
Cc: milano massage parlour na angela wa salasalaEbwanawee kumbe kuna Siri sirini namna hii emu wekeni wazi hizi maelezo mboni waumini wake hawajui haya yote hivi na Pascal Mayalla anayajua haya?
hahaaa,msomi kama wewe umeshakubali kurogwa nae kimiujiza? nitafute nikupe anakotoa hizo dawa msumbiji na congo dr uende nawe ukachukue kisha uanze kukubalika na wanahabari wenzako wote na hatimaye mama nae ( rais ) akuone na akupe uteuzi kwani najua japo ulisema hutaki uteuzi ila walio karibu nawe wanasema sasa una njaa mno na siyo yule waliyekuwa wakikujua na umebaki tu kupiga deiwaka star tv na kwingineko
Nasikia ni senior bachelor kama Yesu,wanawake wanoondoa upako,ndio maana mapadri hawaoiWanabodi,
Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo...
inaendelea...
Paskali
Ebwanawee kuna mmoja ndio nilichoka eti anasema alipokanyaga tu pale viwanjani muujiza umetokea sio Mchezo watu wanajua kuwafanya wenzao mazuzupale wanauziwa shuhuda fake na baadse wanakamuliwa sadaka, baada ya haoi ataandaa jingine na hao hao ndio watakuja.
Hawatakuelewa, Hawa ni matapeli wakubwa sana ni sawa tu na wakina TB joshua, Mwamposa anawauzia shuhuda fake na pale ndio anako wakamatia.Ni muhuni na tapeli kama wale wa tuma wenye namba hii.
Wakati ana watoto usenia bachela umetokea Wapi?Nasikia ni senior bachelor kama Yesu,wanawake wanoondoa upako,ndio maana mapadri hawaoi
Kinacho wavuta watu ni zile Fabricated testmony, hakuna kingineEbwanawee kuna mmoja ndio nilichoka eti anasema alipokanyaga tu pale viwanjani muujiza umetokea sio Mchezo watu wanajua kuwafanya wenzao mazuzu
Emu tupe 123 ya hizo fake fake baadhi tuzijue na SisiHawatakuelewa, Hawa ni matapeli wakubwa sana ni sawa tu na wakina TB joshua, Mwamposa anawauzia shuhuda fake na pale ndio anako wakamatia.
Miujiza ya uongo uongo watu wanajaa na wao wanafuata miujizaKinacho wavuta watu ni zile Fabricated testmony, hakuna kingine
Naunga mkono hoja Mimi jana nilikuwepo baada ya kuwa yuda kwa mda mrefu ila jana nimepata baraka za kutoshaWanabodi,
Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo...
inaendelea...
Paskali
Ukombozi upi? wiki ijayo akiandaa tamasha jingine wataenda hao hao, anacheza na akili za mazezeta, pale hutasikia Bible inasomwa, pale ni shuhuda za wale watu walio pangwa watoe shuhuda tena kwa nyanja tofauti.m nani nilalee wakubwa wameeacha familia kufwata ukomboziii mkuu sikukawiaa chap
Ujinga ni kumpa mtu sifa na kumuacha Mungu!Wanabodi,
Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo...
inaendelea...
Paskali
Baraka zipi? zile stories za miujiza fake? kikubwa pale ni simulizi za miujiza fakeNaunga mkono hoja Mimi jana nilikuwepo baada ya kuwa yuda kwa mda mrefu ila jana nimepata baraka za kutosha
Pamoja na yote hayo, nashauri kumuamini Mungu Pekee πWanabodi,
Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo...
inaendelea...
Paskali