BullDoza Mwamposa Ana Powers za Mvuto wa Ajabu, Aleta Balaa Kubwa Kawe na Maeneo ya Jirani, Mkesha Wake, Kawe, Mikocheni, Mbezi Beach, Wote Tumekesha!

BullDoza Mwamposa Ana Powers za Mvuto wa Ajabu, Aleta Balaa Kubwa Kawe na Maeneo ya Jirani, Mkesha Wake, Kawe, Mikocheni, Mbezi Beach, Wote Tumekesha!

msomi kama wewe umeshakubali kurogwa nae kimiujiza? nitafute nikupe anakotoa hizo dawa msumbiji na congo dr uende nawe ukachukue kisha uanze kukubalika na wanahabari wenzako wote na hatimaye mama nae ( rais ) akuone na akupe uteuzi kwani najua japo ulisema hutaki uteuzi ila walio karibu nawe wanasema sasa una njaa mno na siyo yule waliyekuwa wakikujua na umebaki tu kupiga deiwaka star tv na kwingineko
hahaaa,
 
pale wanauziwa shuhuda fake na baadse wanakamuliwa sadaka, baada ya haoi ataandaa jingine na hao hao ndio watakuja.
Ebwanawee kuna mmoja ndio nilichoka eti anasema alipokanyaga tu pale viwanjani muujiza umetokea sio Mchezo watu wanajua kuwafanya wenzao mazuzu
 
m nani nilalee wakubwa wameeacha familia kufwata ukomboziii mkuu sikukawiaa chap
Ukombozi upi? wiki ijayo akiandaa tamasha jingine wataenda hao hao, anacheza na akili za mazezeta, pale hutasikia Bible inasomwa, pale ni shuhuda za wale watu walio pangwa watoe shuhuda tena kwa nyanja tofauti.

Kuna shuhuda za Biashara, mikopo, ndoa, Ugumba, Matatizo ya familia, kupata kazi,Magonjwa sugu.
.Hapo ndio abako wakamatia wajinga
 
Wanabodi,

Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo...
inaendelea...

Paskali
Ujinga ni kumpa mtu sifa na kumuacha Mungu!

Mungu alisema ye ndo anafanya kupitia wanadamu, na utikufu wake alisema hagawani na mtu!

Ukiona mtu anajisifunkuwa ye ndo kfnay aujue hakuna kitu hapo,
Kwahiyo watu wake mjue kuwa km ni Mungu anafanya muache hizi sifa ,labda km Kuna mengine
 
Back
Top Bottom