BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Hawa wanafuata mtu, na mwamposa mfano akafa ndio mwisho wa kanisa lake, angalia Yule mama Lwagatare unasikia habari za kanisa lake tena?Ujinga ni kumpa mtu sifa na kumuacha Mungu!
Mungu alisema ye ndo anafanya kupitia wanadamu, na utikufu wake alisema hagawani na mtu!
Ukiona mtu anajisifunkuwa ye ndo kfnay aujue hakuna kitu hapo,
Kwahiyo watu wake mjue kuwa km ni Mungu anafanya muache hizi sifa ,labda km Kuna mengine
Nilikuwa nina kesi mahakamani nimeshinda Mkuu mwamposa sio tapeliBaraka zipi? zile stories za miujiza fake? kikubwa pale ni simulizi za miujiza fake
Hawa wanapewa Bahasha,Na wewe ni tapeli unamhamasisha tapeli mwenzio, what kind of kumanina is this..hio nyomi inaonesha watanzania umaskini ni mkubwa sana na watu wanatafuta mafanikio kwenye kukanyaga mafuta au kutafuta mafanikio kwa mtu..na nyie socialites badala mkemee watu wafanye kazi kama wachina nchi mwao, mmekaa mmekalisha matako yenu mnahamasisha ukuma tu..shenzi kabisa.
Mimi nimeisha shinda kesi kibao sijatumia mwamposa wala nini, wadanganye wengineNilikuwa nina kesi mahakamani nimeshinda Mkuu mwamposa sio tapeli
Pale ni full umasikini unapeleka pale, na wanapigwa kisawasawaKama wacongo wananyojazana ktk makanisa ni umasikini tu
๐๐๐ We sio mtu mzuri humtakii mwenzio mazuriWewe ndio unamuitia mods kijanja kwann unamtag active??
Hebu toa hiyo tags, mi bro nimemuelewa na kuanzia ss hivi nitakuwa namfatilia.!!
Watu aina yake sio wanafki ๐๐๐
Umasikini ni janga kubwa sanaPale ni full umasikini unapeleka pale, na wanapigwa kisawasawa
Nimemfatilia aiseee bro ni kwikwi ๐๐๐๐๐๐ We sio mtu mzuri humtakii mwenzio mazuri
Mkuu ni Imani tu na Imani sio mtu km Mwoposa Imani ni Wewe na kile unachokiamini kwa hio wewe unaamini nini Mwoposa anaweza kukuponyesha HIV Sugu tukutafute tukudunge sindano yenye virus uone km vitaondolewa na yule Bwana vikishaingia kwenye mfumo wako wa DamuNilikuwa nina kesi mahakamani nimeshinda Mkuu mwamposa sio tapeli
๐๐๐ Mkuu nipe tofauti ya kuamini na imaniMkuu ni Imani tu na Imani sio mtu km Mwoposa Imani ni Wewe na kile unachokiamini kwa hio wewe unaamini nini Mwoposa anaweza kukuponyesha HIV Sugu tukutafute tukudunge sindano yenye virus uone km vitaondolewa na yule Bwana vikishaingia kwenye mfumo wako wa Damu
KUKAA KIMYA NALO JIBUUkombozi upi? wiki ijayo akiandaa tamasha jingine wataenda hao hao, anacheza na akili za mazezeta, pale hutasikia Bible inasomwa, pale ni shuhuda za wale watu walio pangwa watoe shuhuda tena kwa nyanja tofauti.
Kuna shuhuda za Biashara, mikopo, ndoa, Ugumba, Matatizo ya familia, kupata kazi,Magonjwa sugu.
.Hapo ndio abako wakamatia wajinga
Duuuh umtunukuNimekupenda, njoo nikutunuku papuchi.
Kasome Biblia fungua Wagalatia 3 soma yote mpaka Mwisho bila kuweka kituo๐๐๐ Mkuu nipe tofauti ya kuamini na imani
Anajua common issues so anapita mulemule na mtu mwenye shida serious uwa akili yake haifanyi kazi kabisa, kuna jamaa yangu yupo mkoani anaamini karogwa kisa alipata ajali mguu ukavunjika na mambo hayaendi solution yake eti jana kaja kwa mwamposa wakati nilimwambia badiri mbinu za utafutaji kaniona fala nasubiria atakachovuna katumia gharama kibao kuja kutapeliwa ila kwa kulia lia hana kitu na maisha magumu.Ukombozi upi? wiki ijayo akiandaa tamasha jingine wataenda hao hao, anacheza na akili za mazezeta, pale hutasikia Bible inasomwa, pale ni shuhuda za wale watu walio pangwa watoe shuhuda tena kwa nyanja tofauti.
Kuna shuhuda za Biashara, mikopo, ndoa, Ugumba, Matatizo ya familia, kupata kazi,Magonjwa sugu.
.Hapo ndio abako wakamatia wajinga
MI NA KESI 2 NILIPANGUA KWENYE MAOMBI 12Mimi nimeisha shinda kesi kibao sijatumia mwamposa wala nini, wadanganye wengine
Pamoja na yote kuna uchafuzi wa mazingira. Asubuhi loudspeakers zilikuwa zimefunguliwa kwa nguvu sana.Wanabodi,
Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo...
inaendelea...
Paskali
Imani yake inamtuma kuwa mwamposa ndio kachangia kushinda kwa kesi yake๐Mimi nimeisha shinda kesi kibao sijatumia mwamposa wala nini, wadanganye wengine
Werevu mnakusanyikia wapi?Kusanyiko la wajinga