Bunge: Hali ya Utegemezi Nchini inatisha. Katika Watu 100, watu 87 ni Tegemezi

Sasa watu waliovimbiwa cake ya taifa watawezaje kuweka mijadala chanya kwa ajili ya mustakabali wa walalahoi? Hawaujui uchungu wa umaskini kwa sababu wao sio masikini hata kidogo. Wana mahela ya kula wao na vizazi vyao hadi vijukuu
 
Chawa wengi kuliko wafanya kazi
 
Sasa watu waliovimbiwa cake ya taifa watawezaje kuweka mijadala chanya kwa ajili ya mustakabali wa walalahoi? Hawaujui uchungu wa umaskini kwa sababu wao sio masikini hata kidogo. Wana mahela ya kula wao na vizazi vyao hadi vijukuu
Wazungu akiwa tajiri kile kinachozidi anatoa misaada na kujengea uwezo wengine.

Kwa mwafrika ni tofauti kabisa. Hatuzuii mtu kuwa tajiri lkn utajiri wa mtu mweusi ni shida
 
Ndio maana watu wameamua kuwa Chawa
 
Wazungu akiwa tajiri kile kinachozidi anatoa misaada na kujengea uwezo wengine.

Kwa mwafrika ni tofauti kabisa. Hatuzuii mtu kuwa tajiri lkn utajiri wa mtu mweusi ni shida
Utajiri wa mtu mweusi ni kuoneshana umwamba πŸ˜‚ "unanijua mimi nani?"
Mtu ni billionaire ila ukoo wake umejaa maskini wa kutupwa. Anaona fahari tu kila anapopigwa mizinga ya elf 50/50. Sio akupe mtaji uondokane na umaskini ila anataka mrudi kumuomba omba assist awavimbie vimbie yeye ndio starehe yake.

Wenzetu ngozi nyeupe anzia kwa wahindi na waarabu ni kuinuana tu. Familia moja ni billionaires basi anatafutwa member mmoja kwa kila familia zilizopo chini ili ainue familia zao. Thats how they grow, wanakula pamoja wanafurahia maisha pamoja.
 
BADO HATUJA SEMA.
 
Hii ni comment Bora na ya muda WOTE (all the time)
 
Uchumi kupaa havihusiani na familia Yako kuwa wategemezi.
Huo Uchumi ambao hau translate kitaa ni Uchumi wa kwenye vitabu..., na ndio maana walamba asali wanazidi kuwalisha matango pori..., huitaji kuambiwa kwamba una njaa au umeshiba wewe mwenyewe utaelewa tu..., Na kinachoendelea I had rather Uchumi huo wa Kimaigizo uwe negative lakini kuwe na sustainability na majority wapate their basic needs...
 
Sio kazi ya Uchumi kuwaletea Watoto wako pesa au Ajira wakati wameamua kuwa wavivi.
 
Sio kazi ya Uchumi kuwaletea Watoto wako pesa au Ajira wakati wameamua kuwa wavivi.
Kwahio hii habari inahusu watoto wangu na sio majority ya watanzania (sio watoto tu yaani generation yote) ?

Na nishakwambia kama watu wavivu ingetokea interview ya watu kumi wangetokea watu elfu 10 ?; Sio juzi tu hapa polisi wametoa tangazo la ajira hadi system ikazidiwa na ikabidi waongeze muda ?

Tena kuna upuuzi unaofanyika leo wa kutokutumia hii nguvu kazi ambao utali-cost taifa miaka ijayo..., yaani upuuzi huo wangefanya waasisi wa hii nchi sasa hivi ndio tungekuwa tunavuna kuwa na wazee ombaomba....

Ila ndio hivyo watu wapo busy kuendekeza Uchawa na kufanya propaganda kwa mgongo wa Kodi za masikini...
 
Ndio ni wavivu, kazi za kujiajiri ziko lundo ndio wakajiajiri sio kusubiria kuajiriwa.

Mimi siwezi fuga mtoto amemaliza shule nyumbani namtimua.
 
Ndio ni wavivu, kazi za kujiajiri ziko lundo ndio wakajiajiri sio kusubiria kuajiriwa.

Mimi siwezi fuga mtoto amemaliza shule nyumbani namtimua.
Such a Myopic thinking sidhani hata kama unaweza kuona zaidi ya urefu wa pua yako....

Na wale wakulima waliolima Vanila wakakosa masoko ? Na ajira hizo waende kufanya nini kuwa wachuuzi wa bidhaa za mchina ?

Na kwa watu kukosa disposable income hata hao watu wa kuwauzia wanatoka wapi au ndio mwendo wa kwenda kwenye Vicoba kukopa kufanya biashara na kukata mtaji na mwisho wa siku kuingia kwenye debt cycle ?

Hivi unajua pamoja na kazi ya Serikali ni kuhakikisha inakuja na Sera za kuwawezesha wananchi kupata ujira ? Au unadhani kazi yao ni kuzunguka na kuongeaongea bila kuleta vitu concrete ?

Na wauguzi ambao hospitalini hawatoshi na wengine wapio mtaani tuwaambie waende kuuza nyanya wakati walisomeshwa na kodi za mlipa kodi ili waje wawasaidia kwa afya zao ?

Narudia tena calling you myopic takuwa nimekuonea yaani utakuwa blind kabisa...
 
Sera zipo tatizo ni uvivu wa matoto yenu mliyoyafuga badala ya kuyalea.

Wanaochangamkia fursa wanazipata na ushahidi ni huu hapa πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1853148731945918500?t=li4k5sgCp7ORBxHs_cWPRQ&s=19
 
Na hao ndio wale watu 13 katika watu 100...., Yaani inahitaji upofu wa hali ya juu kutokuona kwamba mambo hayapo sawa na upuuzi wa sasa utalicost taifa na viongozi wa kesho..., Yaani kutokuwa na Sera za kuwezesha nguvu kazi ya sasa kutokuwa na ujira wa uhakika hivyo watu kutokuwa pensionable itapelekea mzigo kwa taifa la kesho kuwa na wazee ombaomba....

Unawaza ujira badala ya kuwaza uzalishaji? Nyie mbumbumbu ndio mnasababisha Utegemezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…