Tetesi: Bunge Kuwaka Moto hadi Zanzibar ijadiliwe kwa Dharula

Acha ujanja wa kitoto huwezi kuni quote post yangu kwa kuchukua mistari miwili uliyoipenda ili upotoshe na mambo yako ya uhawara.
Hilo ungemuuliza Jecha, jee unawezaje kulala na hawara yako kada wa ccm na akakuambia kesho kafute uchaguzi nawe unafuta wakati mamlaka huna?
 
Wabunge wa Zanzibar wana haki kabisa ya kuuliza kulikoni bungeni halafu wengine watachangia! La sivyo Muungano hakuna.
 
Amani ikivurugika Zanzibar hayo yote uliyoyaainisha hapo juu yatakua si lolote kwani bila Amani na Utulivu huko Visiwani hakuna kitakachofanyika huku Bara.
...nani kasema?tutasikitika kwa yatakayotokea, lkn kama kawa tutakula,kunywa,lala, na kwenye tutaendelea kukutana....msitutishe kwenye upuuzi wenu!
 
Kwa hiyo Alichofanya January Makamba kutangaza kuwa CCM ingeshinda majimbo 176 kabla Lubuva hajatangaza kina tofauti yoyote na alichokifanya Maalimu Seif.... Halafu jiulize...
1. Kwa nini huku bara huwa hakunagana majadiliano kuhusu uchaguzi kabla ya kutangazwa lakini Zanzibar miaka yote huwa yanakuwepo..???
2. Hivi mwenye ruhusa ya kufuta uchaguzi ni Mwenyekiti wa TUME ya uchaguzi au tume ya uchaguzi..??
3. Kwa nini Jecha hakuonekana mara baada ya kutangaza kufuta uchaguzi..???
4. Chama gani kililalamika kuwa uchaguzi haukuwa kuru na haki..???
5. Watazamaji wa kimataifa wote walisema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki... aliyoyasema Jecha kayatoa wapi..?? AU watu wake wa tume ndo wamemletea toka huko vituoni..??
 
Bilashaka Utakua ni Uzinduzi bora wa Bunge ndani ya mwaka 2016..

1.Mategemeo kama hiyo hoja itaruhusiwa kujadiliwa ni
1.1/Lugha kali za kuudhi
1.2/Matusi na Kejeli..
1.3/Miongozo bila kikomo
1.4/...........

Kwa spika Ndugai wasitegemee hoja ya Zanzibar kujadiliwa bungeni na uelewe Zanzibar haitakuwa na mwakilishi wao kwenye kikao hicho kwani wale watano waliokuwa wamechaguliwa na uchaguzi kufutwa baadae hawawezi kujumuika bunge la muungano. Hivyo tegemea spika kuwaambia hoja hiyo ni ya tume ya uchaguzi Zanzibar. Wakingangania spika hatakuwa na simile ya kuwatoa nje. Watoe hoja binafsi nyingine ila hiyo hofu ni hiyo.
 
Wewe hujaelewa, wapo wabunge takribani 50 wa kutoka Zanzibar. Ambao hawapo ni wale wa kuteuliwa na baraza pekee
 
wakati kwingine kabla ya kuandika jarib kuuliza kwanza kanuni za bunge zikoje usikurupuke tu kama unapiga chafya, hlo jambo halijadiliki bungeni, maana uchaguzi wa zanzibar utarudiwa mmependa au hamjapenda ukiwa
 
Wewe hujaelewa, wapo wabunge takribani 50 wa kutoka Zanzibar. Ambao hawapo ni wale wa kuteuliwa na baraza pekee

Nakushukuru Chakaza kwa kunifahamisha tena kwa lugha ya kiungwana ila tatizo nahisi litabakia pale pale kwa spika kukataa bunge kujadili hiyo hoja kwa kisingizio inatakiwa ijadiliwe na tume ya uchaguzi Zanzibar.
 

Nakuunga mkono kwa hilo.
 
kwa idadi ipi ya wabunge wa ukawa wanaweza kulazimisha zanzibar ijadiliwe kwa dharula, mambo ya Zanzibar tuwaachie wao wenyewe si tuendelee na mambo yetu kimbelembele chetu ndio kinawafanya watake hata kupiga kura za kuchagua mameya wakati hilo sio swala la Muungano
 
Watu wanasubiri kufanya uchaguzi wewe unaleta habari ya ukiwa yenu na siasa zenu za mabondeni na maeneo ya wazi.
 
YEHODAYA mbona huna akili kiasi hiki

Amiri mkuu wa Tanzania ni MMOJA TU ambaye ni Rais wa Jamhuri

Rais wa Zanzibar hana jeshi lolote isipokuwa KKKM...Ambalo sio jeshi bali kikosi cha kuzuia magendo

Ficha Upumbavu wako[/QUOTE

Mkuu KKKM Ku Klux Klan Mafia imerudi Zanzibar..?
 
Amani ikivurugika Zanzibar hayo yote uliyoyaainisha hapo juu yatakua si lolote kwani bila Amani na Utulivu huko Visiwani hakuna kitakachofanyika huku Bara.
Nani kakwambia amani zanzibar inavurugika kama siyo umbea wenu mliozoe kwenye vijiwe vyenu vya ukawa zanzibar ipo vizuri salama kabisa ujinga wenu kaeni nao huku.
 
Nakushukuru Chakaza kwa kunifahamisha tena kwa lugha ya kiungwana ila tatizo nahisi litabakia pale pale kwa spika kukataa bunge kujadili hiyo hoja kwa kisingizio inatakiwa ijadiliwe na tume ya uchaguzi Zanzibar.
Mkuu usijali, uungwana ni jadi yangu ila humu kuna watu inabidi uwe kama wao wakati mwingine ili kieleweke. Kuhusu spika kukataa hoja hiyo isijadiliwe nadhani atakumbana na hali ile iliyojitokeza alipokataa kujadili suala la polisi kupiga viongozi wa upinzani Mama Makinda.
Wanachotaka kujadili sio habari ya tume imefanyaje bali hali ya kisiasa ya Zanzibar hasa kwa vile hakuna serikali halali kwa mujibu wa katiba. Na wanao uwezo wa kutumia nguvu ili ijadiliwe na halitakuwa bunge la kwanza duniani kufanya hivyo maana tumeshuhudia mabunge mengine ngumi zikipigwa.
 
Bunge linataka kufanya kazi za ZEC?
ZEC ilishafanya kazi yake ya kuiba kura za Maalim Seif halafu baada ya kugundulika wakafanya kazi nyingine ya kulazimisha kurudiwa kwa uchaguzi.
 
Watu wanasubiri kufanya uchaguzi wewe unaleta habari ya ukiwa yenu na siasa zenu za mabondeni na maeneo ya wazi.
Kwanza hata sheria inasema siku 90 Uchaguzi uwe umerudiwa. Hivi siku hizo zinakwisha lini kwa haya magumashi yenu?
 


Yoote hayo unayobwabwaja yana halalisha uwizi wa kura na kudhulumu hata kama umeshindwa ?! Tunaongozwa na Unafiki sio sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…