Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

Kumbe Kijamkazi aliomba hela za Uchaguzi??? Kijamkazi ni 🚮🚮🚮🚮 kwelikweli
 
Deni lote hilo bado tumeomba tena dola milioni nane huko ulaya? Ama kweli sikio la kufa, bora wasitupatie maana tutazilipaje sijui
 
Hatuzihitaji wakae nazo hatutaki misaada ya masharti waambie hivyo!
Ukweli ni kwamba Bibi Chura anajichumia dhambi bure tu maana hicho kiti wala hatakikalia baada ya Uchaguzi; njia ni ile ile!
 
NASHAURI tukajae kwenye page Yao ya Instagram tuombe watusaidie haki ithaminiwe Tanzania
 
OKTOBA TUNATIKI, Pesa ya uchaguzi ni ya kwetu wenyewe. Hao mbwa koko siku hawana meno hawaogopwi wanaishia kubweka tu. Wamefukuzwa west Africa na hawajafanya kitu, wao wenyewe sahv ni njaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…