Bunge Live larudi. Kuoneshwa kuanzia Aprili 5, 2022 katika mkutano wa saba wa Bunge la Bajeti

Kuna siku mlishaongelea masuala ya muhimu kama hayo? Mna matatizo ambayo hamjijui kama mnayo
Kwani lazima tuongee sisi kila kitu? Moyoni mnatupenda na kutukubali lakini midomoni mnajifanya hatuna uwezo
 


Watazidi kutia aibu tu na kuonyesha watu walivyo hafifu
 
Sasa wanaenda kuanza kampeni wakiwa pekee yao bungeni. Watajikita kwenye kudanganya wananchi juu ya mafanikio yao. Huu ndy wakati wao.Kipindi kile sababu waliosema Ulikua uongo wa mchana isipokua kufuta Uwazi mana wapinzani waliibana serikali kidg ING'oke madarakani
 
Bunge la chama kimoja halina maana yoyote
 
Sawa bunge live ndiyo kilio cha Chadema.
Kupanda bei vitu na kukatika umeme siyo jambo la maana sana kwao
Chadema hawana muda na mambo yanayogusa maisha ya Watanzania moja kwa moja, nidhamu ya watumishi wa umma imeshuka, rushwa imetamalaki ktk ofisi za umma, huduma za jamii zimedorora lkn wao wako busy na katiba mpya na tume ya uchaguzi kwa maslahi yao binafsi
 
all is nonsense, virudi visirudi ni takataka! Why? as long as waliomo humo hawana uhalali wa kuwa huo kwa udikiteita wa magufuli, virudi visirudi all is RUBBISH!
 
kilio chenu kimesikika bado mmeanza kuleta sababu zingine yaani akili zenu mnazijuwa wenyewe ni sawa na demu unaingia naye mpaka gest halafu anakuuliza humu tunakuja kufanya nini?
Bunge hili la kina Babu Tale na Mwanafa utapoteza muda wako ili uangalie nini?
 
Kumbuka hiyo live ni Kodi zetu! Wange kata kwenye mishahala yao ambayo wanabeba mizimazima
 
Sawa bunge live ndiyo kilio cha Chadema.
Kupanda bei vitu na kukatika umeme siyo jambo la maana sana kwao
Kaa kimya wewe. Si mlikuwa mnanunua wapinzani na kusema " demokrasia ina gharama" sasa na hizi ni gharama za demokrasia.
Kaa kimya dawa ikuingie.
Haki imetamalaki. Hatutaki ma simba ya muda hapa. Kazi kuparura watu.
 
Bunge la mfukoni kwa mwenyekiti wa CCM hatulitaki.
 
Lini mtanzania ameshakuwa na maisha Bora chini ya ccm?
Acha kupayuka wewe.
 
Watu walishapoteza hamu na bunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…