Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Kikohozi hali ya hewa tu labda
Mi naipenda sauti yake [emoji39][emoji39]Haya tunaimani na magufuli sasa... hicho kimamakinachoforce kuimbisha ni kinani
Dada mapema yote hii unapanik? Ikifika oktoba hiyo pichu si utavaa kichwani?Wewe usiwe kama mwanamke wa baa unadandia dandia bandiko za watu halafu ukijibiwa unaruka ruka!! Pimbi wewe
Kwa hiyo wewe unahisi ni nini?Miezi miwili sasa ni hali ya hewa?
Hahahahaha Umeshamjua ni nani lakiniMi naipenda sauti yake [emoji39][emoji39]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Hajiamini kabisa anabaki kutishia tu
Muheshimiwa anaogopa sana matusi,,,,,,,,,,sijui kwa nini.
Sawa lakini Nyerere alikuwa anasoma hizo points ndio aendelee kuhutubia, na hituba za nyerere nyingi hazikuwa na takwimu lukuki kama hii ya Magu.Magufuli anasoma kwenye teleprompter; lakini mbona Nyerere alikuwa hasomi bali alikuwa anakuja na kikaratsi kidogo chenye bullet points halafu anatoa hotuba yote bila kusoma popote. Mara nyingi inatokana na muhutubiabji kujua sawasa anachotaka kuongelea.
kwani yeye ni nani hata asiumwe. aumwe na afe tu kwani ndio njia ya binadam, kikubwa ni kujitibia ukiumwa sasa povu kuwa anaumwa la nini?Hicho sio kikohozi cha kubana hewa, ni kikohozi cha kuumwa. Kina muda sasa toka akiwa Chato.