Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
"Sangara kwenye Ziwa Victoria wameongezeka kutoka Tani 417,936 hadi Tani 816, 964, urefu wake umeongezeka kutoka wastani wa CM 16 hadi CM 25.2 na hivyo samaki wetu kuanza kuhitajika katika soko la Ulaya na ndege zimeanza kuja Mwanza na kubeba" - Rais @MagufuliJP #JPMKuvunjaBunge