tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Kwahiyo huo ni upinzani au kikundi cha wadada wa tot band ccm,ndio awamu iliyojaa wajingaThread yako inatoa kumbukumbu nzuri ya matukio.
Hili litakuwa ni bunge la mwisho lenye wabunge wengi wa upinzani.
Hali halisi inaonyesha bunge lijalo litakuwa na wabunge wachache sana wa upinzani huku likiongozwa na KUB mpya!
Ouk bas sawaaaah, relax a hope umeeleweshwa.Sasa kama sijui nisiulize?
mkuu,nitajie mkoa uliopo na viwanda kumi tu vilivyoanzishwa mkoani kwakoWewe kila siku upo hapo buza kwa lulenge, utayajuaje ya vijijini?
mkuu,nitajie mkoa uliopo na viwanda kumi tu vilivyoanzishwa mkoani kwakoWewe kila siku upo hapo buza kwa lulenge, utayajuaje ya vijijini?
Ingawa kuhesabu ndio shida, Ila kama umekuwa unasafiri safiri na barabara hasa Dar to Bagamoyo, Bagamoyo to Tanga, na Dar to kibaha, Kibaha to Morogoro, maeneo haya Yana utitiri wa viwanda vipya mkuu, sjajua huko uliko mkuumkuu,nitajie mkoa uliopo na viwanda kumi tu vilivyoanzishwa mkoani kwako
Hahahaha nimecheeka sana kazi kusimama kwa saa 5 U.K. its not a joke
Chadema watachukia wakati hii ni fahari ya Tanzania kuwa na kiongozi anayekubalika duniani kote.Hahahaha nimecheeka sana kazi kusimama kwa saa 5 U.K. its not a joke
Hebu tuondolee huu UJINGA hapa duh!
Kutokana na takwimu za serikali viwanda 8000 vimeanzishwa katika awamu hii,huu ni wastani wa viwanda karibia 300 kila mkoa...ukinitajia viwanda kumi tu vilivyoanzishwa katika mkoa wako nitaamini kweli kuna viwanda 8000 vipya hii nchiIngawa kuhesabu ndio shida, Ila kama umekuwa unasafiri safiri na barabara hasa Dar to Bagamoyo, Bagamoyo to Tanga, na Dar to kibaha, Kibaha to Morogoro, maeneo haya Yana utitiri wa viwanda vipya mkuu, sjajua huko uliko mkuu
Eneo hasa la mikoa ya Pwani, ndio kumejaa viwanda vingivingi vipya