Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Nasikia D Trump amesimamisha shughuli zote ili amsikilize jiwe, Leo Hadi breakfast kagoma.πŸ™„πŸ™„
 
Kuna watu ambao hata majina yao hayajulikani kwa Trump
 
Watu milioni 600? Labda watu mia sita.
Yaani huoni hata aibu kuandika uwongo mzito kiasi hiki? Kwani alikuwa anahutubia UMOJA WA MATAIFA(UN)?!?!
 
Lisemwalo lipo kama halipo laja.
 
Reactions: T11
Tulia nyumbu wewe mabwana zenu wanamtazama sana huyo
Watu milioni 600? Labda watu mia sita.
Yaani huoni hata aibu kuandika uwongo mzito kiasi hiki? Kwani alikuwa anahutubia UMOJA WA MATAIFA(UN)?!?!
 
Habari wana jukwaa.
Kwanza kabisa niwape pole kwa miangaiko ya siku, ya kutafuta chochote kitu.
Niwapongeze wabunge wote, kwa kuhitimisha shughuli za kibunge leo, Karibuni mtaani.
Ndg zangu naamini kuna waliofuatilia kwa kuangalia au kusikilza, shuguli za uhitimishaji wa bunge letu siku ya leo, kwa kwel ndg zangu nime observe kitu ambacho kidogo kimeniacha namshangao, Wakati Mh Rais akihutubia kuna wakati hata hajamaliza kutaja neno/maneno LAKINI wabunge wetu wao wanapiga makofi.

NIMEKUA NAJIULIZA MASWALI MENGI.
1.Haya makofi na makelele maana yake nini, wakti hata Mh Rais wetu ,hajamaliza kutamka anachosema?Ni kweli Mh Rais kafanya kwa nafasi yake na kila mtu anaona, anahitaji pongezi nyingi, lakini je system wabunge wanayotumia kupga makofi na kelele kabla ya Mh kumaliza kusema atakacho ni sahihi?

2.Kwa kelele izo za makofi na sauti bila ya kusikilza kwa makini akisemacho Mh Rais wetu,je wabunge wanapata muda wakukitafakari na kurelate na uhalisia kile asemacho Mh Rais?

Labda ili nimeliona mwenyewe sijajua, ila kama kuna mtu naye kaona ili, tuambizane tatizo ni nini?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huko mitandaoni mliweka wakalimani? Au watu wote hao uliowataja wanaelewa kisukuma alichokuwa anaongea Magufuli?
 
Mimi sijakujibu kuhusi idadi ya wasikilizaji, umehoji kuhusu Kama kaongea kiingereza ndo nikakujibu unafikiri watu wote duniani wanaongea kiingereza? Hapo ndo niliona upeo wako finyu Sana maana hata ujerumani Angel markel anaongea kijerumani.
 
Ungekuja na Supportive evidence ya usemayo Mkuu ,,ila now hizi ni propaganda
 
Zitto na genge lake lote alikoswa cha kusema, msigwa, lema, na genge lao wte! Walikuwa km vibonzo.

Hotuba ilijaa nondo.
 
Reactions: T11
Habari nzuri mkuu ila imekosa uthibitisho. Mbona waziri mkuu Wa uingereza akiongea sisi hatujui mpaka tusikilize BBC waseme jamaa aliongea? Halafu habari uliyoitoa ilitakiwa itangazwe na TBC. Au wewe umeandika Kwa kudhani? Ila habari inavutia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…