Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Nasikia D Trump amesimamisha shughuli zote ili amsikilize jiwe, Leo Hadi breakfast kagoma.🙄🙄
 
Mtandao wa YouTube umeelezea kuwa zaidi ya watu milioni 600 duniani kote walifuatilia hotuba ya Rais Magufuli leo akilivunja bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,aidha zaidi ya mataifa 80 duniani kote walikuwa online kufuatilia kile aluchokuwa anahutubia bungeni leo,marais 50 duniani kote waliungana na mtandao wa online kusikiliza hotuba ya Rais Magufuli ambapo Waziri Mkuu wa uingereza Borris Johnson leo alizuia shughuli zote za kiserikali kwa muda wa masaa matano mpaka hotuba ilipikamilika,Waziri Mkuu wa India,Waziri Mkuu wa ujerumani Angel Merkel,Rais wa China,Rais wa Russia na Donald Trump waliungana na mamilioni ya wananchi kutoka sehem mbalimbali duniani kuskiliza hotuba ya Magufuli leo,Katika tovuti moja nchini Thailand leo imemtangaza Rais Magufuli kama Rais bora wa karne hii ya 21 huku jarida la siasa na uchumi nchini uingereza limemtangaza Rais Magufuli kama "Genius" wa maendeleo na problem solver...

Watanzania Mungu ametubariki kuwa na Rais Kama Magufuli tuna imani na Magufuli,VIVAAA Magufuli VIVAAAA.....

Mods mtaufuta uzi wangu View attachment 1480672
Kuna watu ambao hata majina yao hayajulikani kwa Trump
 
Watu milioni 600? Labda watu mia sita.
Yaani huoni hata aibu kuandika uwongo mzito kiasi hiki? Kwani alikuwa anahutubia UMOJA WA MATAIFA(UN)?!?!
 
Tulia nyumbu wewe mabwana zenu wanamtazama sana huyo
Watu milioni 600? Labda watu mia sita.
Yaani huoni hata aibu kuandika uwongo mzito kiasi hiki? Kwani alikuwa anahutubia UMOJA WA MATAIFA(UN)?!?!
 
Habari wana jukwaa.
Kwanza kabisa niwape pole kwa miangaiko ya siku, ya kutafuta chochote kitu.
Niwapongeze wabunge wote, kwa kuhitimisha shughuli za kibunge leo, Karibuni mtaani.
Ndg zangu naamini kuna waliofuatilia kwa kuangalia au kusikilza, shuguli za uhitimishaji wa bunge letu siku ya leo, kwa kwel ndg zangu nime observe kitu ambacho kidogo kimeniacha namshangao, Wakati Mh Rais akihutubia kuna wakati hata hajamaliza kutaja neno/maneno LAKINI wabunge wetu wao wanapiga makofi.

NIMEKUA NAJIULIZA MASWALI MENGI.
1.Haya makofi na makelele maana yake nini, wakti hata Mh Rais wetu ,hajamaliza kutamka anachosema?Ni kweli Mh Rais kafanya kwa nafasi yake na kila mtu anaona, anahitaji pongezi nyingi, lakini je system wabunge wanayotumia kupga makofi na kelele kabla ya Mh kumaliza kusema atakacho ni sahihi?

2.Kwa kelele izo za makofi na sauti bila ya kusikilza kwa makini akisemacho Mh Rais wetu,je wabunge wanapata muda wakukitafakari na kurelate na uhalisia kile asemacho Mh Rais?

Labda ili nimeliona mwenyewe sijajua, ila kama kuna mtu naye kaona ili, tuambizane tatizo ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtandao wa YouTube umeelezea kuwa zaidi ya watu milioni 600 duniani kote walifuatilia hotuba ya Rais Magufuli leo akilivunja bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,aidha zaidi ya mataifa 80 duniani kote walikuwa online kufuatilia kile aluchokuwa anahutubia bungeni leo,marais 50 duniani kote waliungana na mtandao wa online kusikiliza hotuba ya Rais Magufuli ambapo Waziri Mkuu wa uingereza Borris Johnson leo alizuia shughuli zote za kiserikali kwa muda wa masaa matano mpaka hotuba ilipikamilika,Waziri Mkuu wa India,Waziri Mkuu wa ujerumani Angel Merkel,Rais wa China,Rais wa Russia na Donald Trump waliungana na mamilioni ya wananchi kutoka sehem mbalimbali duniani kuskiliza hotuba ya Magufuli leo,Katika tovuti moja nchini Thailand leo imemtangaza Rais Magufuli kama Rais bora wa karne hii ya 21 huku jarida la siasa na uchumi nchini uingereza limemtangaza Rais Magufuli kama "Genius" wa maendeleo na problem solver...

Watanzania Mungu ametubariki kuwa na Rais Kama Magufuli tuna imani na Magufuli,VIVAAA Magufuli VIVAAAA.....

Mods mtaufuta uzi wangu View attachment 1480672
Mkuu huko mitandaoni mliweka wakalimani? Au watu wote hao uliowataja wanaelewa kisukuma alichokuwa anaongea Magufuli?
 
upo sahihi akili yangu imedumaa ndio maana nikahitaji uthibitisho wa hizo takwimu zilizoletwa na muanzilishi wa hii thread.

watu millioni 600 wameifuatilia hotuba ya raisi magufuli mchana wa leo huko youtube.
ina maana raisi magufuli amevunja rekodi ya BTS na wajinga wengine na kuweka ya kwake
Mimi sijakujibu kuhusi idadi ya wasikilizaji, umehoji kuhusu Kama kaongea kiingereza ndo nikakujibu unafikiri watu wote duniani wanaongea kiingereza? Hapo ndo niliona upeo wako finyu Sana maana hata ujerumani Angel markel anaongea kijerumani.
 
Zitto na genge lake lote alikoswa cha kusema, msigwa, lema, na genge lao wte! Walikuwa km vibonzo.

Hotuba ilijaa nondo.
 
  • Thanks
Reactions: T11
Mtandao wa YouTube umeelezea kuwa zaidi ya watu milioni 600 duniani kote walifuatilia hotuba ya Rais Magufuli leo akilivunja bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,aidha zaidi ya mataifa 80 duniani kote walikuwa online kufuatilia kile aluchokuwa anahutubia bungeni leo,marais 50 duniani kote waliungana na mtandao wa online kusikiliza hotuba ya Rais Magufuli ambapo Waziri Mkuu wa uingereza Borris Johnson leo alizuia shughuli zote za kiserikali kwa muda wa masaa matano mpaka hotuba ilipikamilika,Waziri Mkuu wa India,Waziri Mkuu wa ujerumani Angel Merkel,Rais wa China,Rais wa Russia na Donald Trump waliungana na mamilioni ya wananchi kutoka sehem mbalimbali duniani kuskiliza hotuba ya Magufuli leo,Katika tovuti moja nchini Thailand leo imemtangaza Rais Magufuli kama Rais bora wa karne hii ya 21 huku jarida la siasa na uchumi nchini uingereza limemtangaza Rais Magufuli kama "Genius" wa maendeleo na problem solver...

Watanzania Mungu ametubariki kuwa na Rais Kama Magufuli tuna imani na Magufuli,VIVAAA Magufuli VIVAAAA.....

Mods mtaufuta uzi wangu View attachment 1480672
Habari nzuri mkuu ila imekosa uthibitisho. Mbona waziri mkuu Wa uingereza akiongea sisi hatujui mpaka tusikilize BBC waseme jamaa aliongea? Halafu habari uliyoitoa ilitakiwa itangazwe na TBC. Au wewe umeandika Kwa kudhani? Ila habari inavutia.
 
Back
Top Bottom