mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Nasikia D Trump amesimamisha shughuli zote ili amsikilize jiwe, Leo Hadi breakfast kagoma.🙄🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu ambao hata majina yao hayajulikani kwa TrumpMtandao wa YouTube umeelezea kuwa zaidi ya watu milioni 600 duniani kote walifuatilia hotuba ya Rais Magufuli leo akilivunja bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,aidha zaidi ya mataifa 80 duniani kote walikuwa online kufuatilia kile aluchokuwa anahutubia bungeni leo,marais 50 duniani kote waliungana na mtandao wa online kusikiliza hotuba ya Rais Magufuli ambapo Waziri Mkuu wa uingereza Borris Johnson leo alizuia shughuli zote za kiserikali kwa muda wa masaa matano mpaka hotuba ilipikamilika,Waziri Mkuu wa India,Waziri Mkuu wa ujerumani Angel Merkel,Rais wa China,Rais wa Russia na Donald Trump waliungana na mamilioni ya wananchi kutoka sehem mbalimbali duniani kuskiliza hotuba ya Magufuli leo,Katika tovuti moja nchini Thailand leo imemtangaza Rais Magufuli kama Rais bora wa karne hii ya 21 huku jarida la siasa na uchumi nchini uingereza limemtangaza Rais Magufuli kama "Genius" wa maendeleo na problem solver...
Watanzania Mungu ametubariki kuwa na Rais Kama Magufuli tuna imani na Magufuli,VIVAAA Magufuli VIVAAAA.....
Mods mtaufuta uzi wangu View attachment 1480672
Mwendawazimu ni yule anayelewa na kuvunja miguuHuu ni uwendawazimu!!! Mnamdhalilisha Rais bure
Watu milioni 600? Labda watu mia sita.
Yaani huoni hata aibu kuandika uwongo mzito kiasi hiki? Kwani alikuwa anahutubia UMOJA WA MATAIFA(UN)?!?!
Watu milioni 600? Labda watu mia sita.
Yaani huoni hata aibu kuandika uwongo mzito kiasi hiki? Kwani alikuwa anahutubia UMOJA WA MATAIFA(UN)?!?!
Trump anamuogopa na kumuheshimu jpmNasikia D Trump amesimamisha shughuli zote ili amsikilize jiwe, Leo Hadi breakfast kagoma.[emoji849][emoji849]
Naziunga mkono na miguu piaHahahaha hadi wewe umekataa hizi sifa!??
Mkuu huko mitandaoni mliweka wakalimani? Au watu wote hao uliowataja wanaelewa kisukuma alichokuwa anaongea Magufuli?Mtandao wa YouTube umeelezea kuwa zaidi ya watu milioni 600 duniani kote walifuatilia hotuba ya Rais Magufuli leo akilivunja bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,aidha zaidi ya mataifa 80 duniani kote walikuwa online kufuatilia kile aluchokuwa anahutubia bungeni leo,marais 50 duniani kote waliungana na mtandao wa online kusikiliza hotuba ya Rais Magufuli ambapo Waziri Mkuu wa uingereza Borris Johnson leo alizuia shughuli zote za kiserikali kwa muda wa masaa matano mpaka hotuba ilipikamilika,Waziri Mkuu wa India,Waziri Mkuu wa ujerumani Angel Merkel,Rais wa China,Rais wa Russia na Donald Trump waliungana na mamilioni ya wananchi kutoka sehem mbalimbali duniani kuskiliza hotuba ya Magufuli leo,Katika tovuti moja nchini Thailand leo imemtangaza Rais Magufuli kama Rais bora wa karne hii ya 21 huku jarida la siasa na uchumi nchini uingereza limemtangaza Rais Magufuli kama "Genius" wa maendeleo na problem solver...
Watanzania Mungu ametubariki kuwa na Rais Kama Magufuli tuna imani na Magufuli,VIVAAA Magufuli VIVAAAA.....
Mods mtaufuta uzi wangu View attachment 1480672
Mimi sijakujibu kuhusi idadi ya wasikilizaji, umehoji kuhusu Kama kaongea kiingereza ndo nikakujibu unafikiri watu wote duniani wanaongea kiingereza? Hapo ndo niliona upeo wako finyu Sana maana hata ujerumani Angel markel anaongea kijerumani.upo sahihi akili yangu imedumaa ndio maana nikahitaji uthibitisho wa hizo takwimu zilizoletwa na muanzilishi wa hii thread.
watu millioni 600 wameifuatilia hotuba ya raisi magufuli mchana wa leo huko youtube.
ina maana raisi magufuli amevunja rekodi ya BTS na wajinga wengine na kuweka ya kwake
Nilikuwa niulize hilo hilo, lakini umewahi, tusubiri jibu!kwani alitumia kiingilishi?
Na wewe umeamini?Chadema watachukia wakati hii ni fahari ya Tanzania kuwa na kiongozi anayekubalika duniani kote.
Nikadhani hayo yananikuta mimi tuWakiufuta leta uzi kuhusu Mbowe.
Dunia nzima inajua kisukuma alichokuwa anatumia magu leoAkili yako imedumaa, unafikiri dunia nzima wanajua kuongea kiingereza?
Habari nzuri mkuu ila imekosa uthibitisho. Mbona waziri mkuu Wa uingereza akiongea sisi hatujui mpaka tusikilize BBC waseme jamaa aliongea? Halafu habari uliyoitoa ilitakiwa itangazwe na TBC. Au wewe umeandika Kwa kudhani? Ila habari inavutia.Mtandao wa YouTube umeelezea kuwa zaidi ya watu milioni 600 duniani kote walifuatilia hotuba ya Rais Magufuli leo akilivunja bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,aidha zaidi ya mataifa 80 duniani kote walikuwa online kufuatilia kile aluchokuwa anahutubia bungeni leo,marais 50 duniani kote waliungana na mtandao wa online kusikiliza hotuba ya Rais Magufuli ambapo Waziri Mkuu wa uingereza Borris Johnson leo alizuia shughuli zote za kiserikali kwa muda wa masaa matano mpaka hotuba ilipikamilika,Waziri Mkuu wa India,Waziri Mkuu wa ujerumani Angel Merkel,Rais wa China,Rais wa Russia na Donald Trump waliungana na mamilioni ya wananchi kutoka sehem mbalimbali duniani kuskiliza hotuba ya Magufuli leo,Katika tovuti moja nchini Thailand leo imemtangaza Rais Magufuli kama Rais bora wa karne hii ya 21 huku jarida la siasa na uchumi nchini uingereza limemtangaza Rais Magufuli kama "Genius" wa maendeleo na problem solver...
Watanzania Mungu ametubariki kuwa na Rais Kama Magufuli tuna imani na Magufuli,VIVAAA Magufuli VIVAAAA.....
Mods mtaufuta uzi wangu View attachment 1480672