Nikadhani hayo yananikuta mimi tu
Wamebaki kujadili alikuwa anasoma au amekariri kichwaniZitto na genge lake lote alikoswa cha kusema, msigwa, lema, na genge lao wte! Walikuwa km vibonzo.
Hotuba ilijaa nondo.
Sawa, vipi kufanya kile magufuli anafanya?Mkuu wamarekani Kama hujawasoma katikati ya mistari ni ngumu kuwaelewa,unaweza kudhani wanakusifu wakati wanakuponda
Akili fupi utazijua tu, hapo ndipo ukomo wako wa kufikiri umegota.Tulia nyumbu wewe mabwana zenu wanamtazama sana huyo
Wewe ni mjinga,Trump aacha usingizi wake aje asikilize rais wa shithole? Hivi surua ndo polio ee? Na huo ugongwa au jina la huo ugonjwa limetoka shithole hadi Trump aige?Alimuelewaje aliposema tuichukulie kama surua?
No wonder jina lako linasadifu
Habari za kuchoka kazi na kusikilizwa na dunia zinaingilianaje?UFINYU wako wa akili ndipo ulipoishia hapo. Dikteta kasema kachoka kazi ni NGUMU SANA na ina MATESO MAKUBWA sasa inakuwaje tena ang’ang’ane na kazi ILIYOMZIDI KIMO? [emoji848]
Sawa mkuu Trump anaiga kwa shithole this time around,soon atamtumia mwaliko kutembelea whitehouseSawa, vipi kufanya kile magufuli anafanya?
Awamu hii imekuwa ni bingwa wa kupika takwimu kwelikweli na kutoa data zisizo na uhalisia...hivyo viwanda vimekuwa vikijengwa kwenye makaratasi lakini huku mtaani havipo,ndege 11 zipo kweli zimenunuliwa na zinaonekana...kwa hiyo mkuu kwa kuwa ndege 11 zipo basi unataka ndo ziwe proof ya takwimu zozote zinazotolewa na serikali tuziamini...Mtu anayekwambia makusanyo ya kodi yameongezeka,miradi mikubwa tunajenga kwa fedha zetu wenyewe na kuwa sisi no donor country wakati hapohapo deni la taifa linaongezeka...haihitaji hata elimu ya darasa la saba kugundua siasa za uongo uongo na janjajanja kama hiziNi kazi ngumu Sana hii unayoitaka kwangu mkuu! Yaani niache kazi zangu, nianze kuzungukia mkoa mzima kuhesabu viwanda vilivyojengwa? Kama huwaamini waliosema, basi usiamini pia na ndege mpya 11 zilizonunuliwa!
Mjinga mimi au wewe usiyejijuaWewe ni mjinga,Trump aacha usingizi wake aje asikilize rais wa shithole? Hivi surua ndo polio ee? Na huo ugongwa au jina la huo ugonjwa limetoka shithole hadi Trump aige?
Unajua viwanda wewe, kutengeneza vyungu vya kupikia unaita viwanda.Ingawa kuhesabu ndio shida, Ila kama umekuwa unasafiri safiri na barabara hasa Dar to Bagamoyo, Bagamoyo to Tanga, na Dar to kibaha, Kibaha to Morogoro, maeneo haya Yana utitiri wa viwanda vipya mkuu, sjajua huko uliko mkuu
Eneo hasa la mikoa ya Pwani, ndio kumejaa viwanda vingivingi vipya
Habari za kuchoka kazi na kusikilizwa na dunia zinaingilianaje?
Hamna cha kupinga ndo maana mmebaki kubishana alikuwa anasoma kwa kifaa maalum au amekariri
Mlitegemea atawaponda mpate kiki akawachenga
Kumbe ni niniUnajua viwanda wewe, kutengeneza vyungu vya kupikia unaita viwanda.
IrrelevantMawazo yako, tuliomjua Magu mapema sana tuliona nuru na kumpa kura
Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
Kumbe ni niniUnajua viwanda wewe, kutengeneza vyungu vya kupikia unaita viwanda.
Nitajie donor country moja tu isiyo na madeni, ingawa ni kweli kwamba, Kwa Wakati tuliopo Pengine na miaka kadhaa ijayo Tanzania haiwezi kuwa donor Kwa sababu ya vitu vingi tu, lakini madeni ya nchi si kigezo cha nchi kushindwa kuwa donor country,Awamu hii imekuwa ni bingwa wa kupika takwimu kwelikweli na kutoa data zisizo na uhalisia...hivyo viwanda vimekuwa vikijengwa kwenye makaratasi lakini huku mtaani havipo,ndege 11 zipo kweli zimenunuliwa na zinaonekana...kwa hiyo mkuu kwa kuwa ndege 11 zipo basi unataka ndo ziwe proof ya takwimu zozote zinazotolewa na serikali tuziamini...Mtu anayekwambia makusanyo ya kodi yameongezeka,miradi mikubwa tunajenga kwa fedha zetu wenyewe na kuwa sisi no donor country wakati hapohapo deni la taifa linaongezeka...haihitaji hata elimu ya darasa la saba kugundua siasa za uongo uongo na janjajanja kama hizi
Sivijui viwanda mkuuUnajua viwanda wewe, kutengeneza vyungu vya kupikia unaita viwanda.
Sure anamjua Magufuli. Tena ile mbaya!Kuna watu ambao hata majina yao hayajulikani kwa Trump