Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Zitto na genge lake lote alikoswa cha kusema, msigwa, lema, na genge lao wte! Walikuwa km vibonzo.

Hotuba ilijaa nondo.
Wamebaki kujadili alikuwa anasoma au amekariri kichwani
 
Mkuu wamarekani Kama hujawasoma katikati ya mistari ni ngumu kuwaelewa,unaweza kudhani wanakusifu wakati wanakuponda
Sawa, vipi kufanya kile magufuli anafanya?
 
Alimuelewaje aliposema tuichukulie kama surua?

No wonder jina lako linasadifu
Wewe ni mjinga,Trump aacha usingizi wake aje asikilize rais wa shithole? Hivi surua ndo polio ee? Na huo ugongwa au jina la huo ugonjwa limetoka shithole hadi Trump aige?
 
UFINYU wako wa akili ndipo ulipoishia hapo. Dikteta kasema kachoka kazi ni NGUMU SANA na ina MATESO MAKUBWA sasa inakuwaje tena ang’ang’ane na kazi ILIYOMZIDI KIMO? [emoji848]

Habari za kuchoka kazi na kusikilizwa na dunia zinaingilianaje?

Hamna cha kupinga ndo maana mmebaki kubishana alikuwa anasoma kwa kifaa maalum au amekariri

Mlitegemea atawaponda mpate kiki akawachenga
 
Ni kazi ngumu Sana hii unayoitaka kwangu mkuu! Yaani niache kazi zangu, nianze kuzungukia mkoa mzima kuhesabu viwanda vilivyojengwa? Kama huwaamini waliosema, basi usiamini pia na ndege mpya 11 zilizonunuliwa!
Awamu hii imekuwa ni bingwa wa kupika takwimu kwelikweli na kutoa data zisizo na uhalisia...hivyo viwanda vimekuwa vikijengwa kwenye makaratasi lakini huku mtaani havipo,ndege 11 zipo kweli zimenunuliwa na zinaonekana...kwa hiyo mkuu kwa kuwa ndege 11 zipo basi unataka ndo ziwe proof ya takwimu zozote zinazotolewa na serikali tuziamini...Mtu anayekwambia makusanyo ya kodi yameongezeka,miradi mikubwa tunajenga kwa fedha zetu wenyewe na kuwa sisi no donor country wakati hapohapo deni la taifa linaongezeka...haihitaji hata elimu ya darasa la saba kugundua siasa za uongo uongo na janjajanja kama hizi
 
Wewe ni mjinga,Trump aacha usingizi wake aje asikilize rais wa shithole? Hivi surua ndo polio ee? Na huo ugongwa au jina la huo ugonjwa limetoka shithole hadi Trump aige?
Mjinga mimi au wewe usiyejijua
 
Ingawa kuhesabu ndio shida, Ila kama umekuwa unasafiri safiri na barabara hasa Dar to Bagamoyo, Bagamoyo to Tanga, na Dar to kibaha, Kibaha to Morogoro, maeneo haya Yana utitiri wa viwanda vipya mkuu, sjajua huko uliko mkuu

Eneo hasa la mikoa ya Pwani, ndio kumejaa viwanda vingivingi vipya
Unajua viwanda wewe, kutengeneza vyungu vya kupikia unaita viwanda.
 
Hakuna yeyote duniani ambaye anaweza kupoteza muda wake kumsikiliza huyo kichaa, ni MATAAHIRA tu wa Lumumba ambao hawana la kufanya ndiyo wanamsikiliza.

Habari za kuchoka kazi na kusikilizwa na dunia zinaingilianaje?

Hamna cha kupinga ndo maana mmebaki kubishana alikuwa anasoma kwa kifaa maalum au amekariri

Mlitegemea atawaponda mpate kiki akawachenga
 
Awamu hii imekuwa ni bingwa wa kupika takwimu kwelikweli na kutoa data zisizo na uhalisia...hivyo viwanda vimekuwa vikijengwa kwenye makaratasi lakini huku mtaani havipo,ndege 11 zipo kweli zimenunuliwa na zinaonekana...kwa hiyo mkuu kwa kuwa ndege 11 zipo basi unataka ndo ziwe proof ya takwimu zozote zinazotolewa na serikali tuziamini...Mtu anayekwambia makusanyo ya kodi yameongezeka,miradi mikubwa tunajenga kwa fedha zetu wenyewe na kuwa sisi no donor country wakati hapohapo deni la taifa linaongezeka...haihitaji hata elimu ya darasa la saba kugundua siasa za uongo uongo na janjajanja kama hizi
Nitajie donor country moja tu isiyo na madeni, ingawa ni kweli kwamba, Kwa Wakati tuliopo Pengine na miaka kadhaa ijayo Tanzania haiwezi kuwa donor Kwa sababu ya vitu vingi tu, lakini madeni ya nchi si kigezo cha nchi kushindwa kuwa donor country,

Kuhusu uwongo wa takwimu, ni vizuri tukaacha kutumia ongezeko la deni la Taifa kuwa kigezo cha kupika takwimu, takwimu huenda kuwa zinapikwa, uhusiano wa deni na kupikwa Kwa takwimu zinaoanaje, ikiwa hata big Country zinamadeni chungu mzima na Uchumi ukizidi kukua
 
WALIJUA ATATUMIA MUDA MWINGI KUWAPONDA

AKAWACHENGA

WAKAKOSA HOJA

WAMEBAKI KUKOSOA ALIKUWA ANASOMA HAJAKARIRI
 
Kuna watu ambao hata majina yao hayajulikani kwa Trump
Sure anamjua Magufuli. Tena ile mbaya!

Kama RC Makonda na familia yake wanajulikana kwa Trump mpaka yeye personally kutoa amri ya kumfungia Makonda na familia yake kutoingia Amerika, utasemaje juu ya mtu aliye mweka Makonda madarakani? Umesha lisahau sakata lile?

Wenzako wanahaha huko waliko. Wanatafuta kila njia ya kumwondoa Mwanamme wanashindwa. Walifikiri wakitumia media zao na makachero wao akina Mange Kimambi, Tundu Lissu, Zitto Kabwe, Gadhbett Ngurumo na wengineo wangeweza kirahisi kutupa sisi panic, thubutuuu!

Hawaelewi kuwa kwa kufanya hivyo mambo mabaya yanawatokea wao wenyewe. Coronavirus na George Flowed limekuwa pigo kwa Trump. Hii ni ishara kuwa sisi watanzania ndiyo wana Mungu na sio waisrael kama inavyo sadikika. Sisi tunalindwa na nguvu za kutoka juu.

Na arudie tena kuisakama Tanzania atakiona cha mtema kuni. Anacheza na maisha ya watu wa Taifa lililobarikiwa na Mungu? Na akome!

Waza kwanza kabla ya kutoa comment yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: T11
Back
Top Bottom