Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Mataga mnachemkaaaaa
 

Attachments

  • IMG-20200616-WA0108.jpg
    52.2 KB · Views: 4
Eti nini? Viwanda vipya 8,477?​
Na vimezalisha ajira ngapi eti?​
Milioni 6,032,299.....!!​
Duuh, vituko kwelikweli....​
Tunadanganywa mchana kweupe tena na Rais wa nchi....​
Hii kitu kama wataibeba kama agenda ya uchaguzi, wananchi watawacheka sana....​
Ajira milioni sita na ushee, maana yake Tanzania hii ingeshakuwa "a living Paradise "...​
Lakini cha ajabu ajira milioni 6 only from " 8,477 vi - wonders'" built in just four years, nevertheless Tanzania is still a living hell, majirity of its people living in an abject poverty.....!!​
This is a joke, right??​
 
Tuwekee hapa zako zilizokamilika
 
Kuchaa ni wewe usiyejieelwa unaishi kwa dadako
Hakuna yeyote duniani ambaye anaweza kupoteza muda wake kumsikiliza huyo kichaa, ni MATAAHIRA tu wa Lumumba ambao hawana la kufanya ndiyo wanamsikiliza.

 
Thread yako inatoa kumbukumbu nzuri ya matukio.

Hili litakuwa ni bunge la mwisho lenye wabunge wengi wa upinzani.

Hali halisi inaonyesha bunge lijalo litakuwa na wabunge wachache sana wa upinzani huku likiongozwa na KUB mpya!
Maneno ya kanga hayo ni sawa na ya kusema upinzani utakufa
 
hahahahahah eti mie ni dada πŸ˜‚πŸ˜‚ ACHA UJUHA wako wa kujibaraguza kama vile unanifahamu.

Kuchaa ni wewe usiyejieelwa unaishi kwa dadako
πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hadi Sasa tangu awamu hii ianze ni jumla wa watu milioni 3 waliokuwa na ajira wamezipoteza baada ya kusomeshwa namba kimakusudi ili wawe masikini kusudi watawaliwe.
 
Reactions: BAK
Tunatoa wafanyakazi hewa na vyeti feki. Watumishi mtaongezewa. Bunge kimyaa?
 
Huna akili wewe.
 
Reactions: BAK
jamaa anaonekana kabisa ataendeleza kutukazia vyuma, na ajira ndo kama hivyo
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…