Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Attachments

  • IMG-20200616-WA0108.jpg
    IMG-20200616-WA0108.jpg
    52.2 KB · Views: 4
Mtandao wa YouTube umeelezea kuwa zaidi ya watu milioni 600 duniani kote walifuatilia hotuba ya Rais Magufuli leo akilivunja bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania, aidha zaidi ya mataifa 80 duniani kote walikuwa online kufuatilia kile alichokuwa anahutubia bungeni leo, marais 50 duniani kote waliungana na mtandao wa online kusikiliza hotuba ya Rais Magufuli ambapo Waziri Mkuu wa uingereza Borris Johnson leo alizuia shughuli zote za kiserikali kwa muda wa masaa matano mpaka hotuba ilipikamilika, Waziri Mkuu wa India, Waziri Mkuu wa ujerumani Angel Merkel, Rais wa China, Rais wa Russia na Donald Trump waliungana na mamilioni ya wananchi kutoka sehem mbalimbali duniani kuskiliza hotuba ya Magufuli leo, Katika tovuti moja nchini Thailand leo imemtangaza Rais Magufuli kama Rais bora wa karne hii ya 21 huku jarida la siasa na uchumi nchini Uingereza limemtangaza Rais Magufuli kama "Genius" wa maendeleo na problem solver...

Watanzania Mungu ametubariki kuwa na Rais Kama Magufuli tuna imani na Magufuli,VIVAAA Magufuli VIVAAAA.....


View attachment 1480672
Mataga mnachemkaaaaa
 

Attachments

  • IMG-20200616-WA0108.jpg
    IMG-20200616-WA0108.jpg
    52.2 KB · Views: 4
Eti nini? Viwanda vipya 8,477?​
Na vimezalisha ajira ngapi eti?​
Milioni 6,032,299.....!!​
Duuh, vituko kwelikweli....​
Tunadanganywa mchana kweupe tena na Rais wa nchi....​
Hii kitu kama wataibeba kama agenda ya uchaguzi, wananchi watawacheka sana....​
Ajira milioni sita na ushee, maana yake Tanzania hii ingeshakuwa "a living Paradise "...​
Lakini cha ajabu ajira milioni 6 only from " 8,477 vi - wonders'" built in just four years, nevertheless Tanzania is still a living hell, majirity of its people living in an abject poverty.....!!​
This is a joke, right??​
 
Awamu hii imekuwa ni bingwa wa kupika takwimu kwelikweli na kutoa data zisizo na uhalisia...hivyo viwanda vimekuwa vikijengwa kwenye makaratasi lakini huku mtaani havipo,ndege 11 zipo kweli zimenunuliwa na zinaonekana...kwa hiyo mkuu kwa kuwa ndege 11 zipo basi unataka ndo ziwe proof ya takwimu zozote zinazotolewa na serikali tuziamini...Mtu anayekwambia makusanyo ya kodi yameongezeka,miradi mikubwa tunajenga kwa fedha zetu wenyewe na kuwa sisi no donor country wakati hapohapo deni la taifa linaongezeka...haihitaji hata elimu ya darasa la saba kugundua siasa za uongo uongo na janjajanja kama hizi
Tuwekee hapa zako zilizokamilika
 
Kuchaa ni wewe usiyejieelwa unaishi kwa dadako
Hakuna yeyote duniani ambaye anaweza kupoteza muda wake kumsikiliza huyo kichaa, ni MATAAHIRA tu wa Lumumba ambao hawana la kufanya ndiyo wanamsikiliza.

 
Thread yako inatoa kumbukumbu nzuri ya matukio.

Hili litakuwa ni bunge la mwisho lenye wabunge wengi wa upinzani.

Hali halisi inaonyesha bunge lijalo litakuwa na wabunge wachache sana wa upinzani huku likiongozwa na KUB mpya!
Maneno ya kanga hayo ni sawa na ya kusema upinzani utakufa
 
hahahahahah eti mie ni dada 😂😂 ACHA UJUHA wako wa kujibaraguza kama vile unanifahamu.

Kuchaa ni wewe usiyejieelwa unaishi kwa dadako
😂 😂
 
Hadi Sasa tangu awamu hii ianze ni jumla wa watu milioni 3 waliokuwa na ajira wamezipoteza baada ya kusomeshwa namba kimakusudi ili wawe masikini kusudi watawaliwe.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Tunatoa wafanyakazi hewa na vyeti feki. Watumishi mtaongezewa. Bunge kimyaa?
 
Ukiamua kumsikiliza mtu ambaye mwanzoni ulikuwa hupendi na hutaki kumsikiliza ujue umemuelewa au umeanza kushawishika na maneno yake!

Wabunge Makamanda ya kupinga kila kitu hatimaye leo wamekaa Bungeni kumsikiliza Mh Rais. Wametambua kuwa Wananchi hawawaelewi na pia wanatafuta hisani kwa serikali.

Niliwahi kuandika humu Washauri wote waliokuwa wanamshauri Mbowe kufukuza Wabunge na viongozi mwisho wa siku watamkimbia. Yametokea Rombo na sasa baada ya hili Bunge kuvunjwa watamkimbia ama kuhamia CCM au hawatagombea kabisa kwa madai wanapunzika kumbe ni kukosa matumaini ya ushindi.

CHADEMA kwasasa kumebaki kikundi cha maslahi sio moyo wa Chama. Madiwani na Wabunge hawatagombea tena uchaguzi huu na walioko makao makuu ruzuku ikishuka watakimbia wote!

Muda utatuambia
Huna akili wewe.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
jamaa anaonekana kabisa ataendeleza kutukazia vyuma, na ajira ndo kama hivyo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom