Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Ngoja amalize kusoma utaona anavyoanza kuropoka ,hapo katulia tu anasoma
yeah right...

Daniel alimezwa na samaki
Saddam Hussein rais wa Kuwait
Gaddafi rais wa Tunisia

atawazuga misukule wa MATAGA tu!
 
Amani au uoga
Ripoti ya Global Peace Index ya mwaka 2020, imeonyesha Tanzania ni ya kwanza kwa Afrika Mashariki na ya 7 kwa nchi zilizo chini ya Jangwa la Sahara kwa kuwa na amani na utulivu.Hii ni nzuri sana kwa nchi yetu...
 
Praise and worship team hawana uwezo huo.
Kuongoza wajinga ni raha sana maana watakusifia hata pasipostahili. Yani watakuona superhuman kumbe hawajui ni teknoloji na propaganda. Nakwambia hivi waliowengi leo hii wataona raisi ni noma amekalili takwimu zote ameshusha hotuba bila kusoma ni bonge la kichwa.
 
Daraja la Kigamboni limejengwa kipindi cha JK ila huyu kataja yeye ndiye mjengaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…