USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Wanakuja wengi sanaAnayosema Magufuli kuhusu Afya ni ya kweli? Watu wanatoka nje kuje kutibiwa Tanzana siku hizi? Mungu Ibariki Tanzania!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakuja wengi sanaAnayosema Magufuli kuhusu Afya ni ya kweli? Watu wanatoka nje kuje kutibiwa Tanzana siku hizi? Mungu Ibariki Tanzania!
Anasoma kwenye nn?Huoni hapo anaposoma??
Mambo ya teknolojia angalia vizuri,,,,,,,,
Praise and worship team hawana uwezo huo.Ushamba mzigo sana ina maana huoni kama anasoma toka kwenye teleprompter?
Kwani thread aliyeanzisha anauliza kama takwimu ni za kweli au za uongo? Mbona unabadirisha content ya thread.Shida siyo kusoma au kizitoa kichwani.
Shida ni za kweli?
yeah right...
Daniel alimezwa na samaki
Saddam Hussein rais wa Kuwait
Gaddafi rais wa Tunisia
atawazuga misukule wa MATAGA tu!
Angalia hicho kidude kilicho mbele yake hapo, pia angalia body language yake………..hawezi akatiririka namna hiyo bila ya kusoma sehemu……..Anasoma kwenye nn?
Ripoti ya Global Peace Index ya mwaka 2020, imeonyesha Tanzania ni ya kwanza kwa Afrika Mashariki na ya 7 kwa nchi zilizo chini ya Jangwa la Sahara kwa kuwa na amani na utulivu.Hii ni nzuri sana kwa nchi yetu...
Anatumia Teleprompter.
Kuongoza wajinga ni raha sana maana watakusifia hata pasipostahili. Yani watakuona superhuman kumbe hawajui ni teknoloji na propaganda. Nakwambia hivi waliowengi leo hii wataona raisi ni noma amekalili takwimu zote ameshusha hotuba bila kusoma ni bonge la kichwa.Praise and worship team hawana uwezo huo.
Telemtompter,,,,,,,,,,,,ingia kwenye mambo ya teknolojia utajua hiyo ni nini??Anasoma kwenye nn?
Sina uhakika kwa hilo.Huwa wanalipia?
Anasoma teleprompterHasomi mkuu, Angalia kwa umakini
hili la kweli kabisa….Barabara kweli zimejengwa
Akifika kwenye mambo ya kisiasa lazima awapige mawe akina mboweKilichofanyika kikubwa ni kubana uhuru wa kujieleza tu!
NI amani iliotukuka kabisa mkuu,sio mimi niliosema hivyo ni Global Peace Index...Amani au uoga