Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Kaongelea Treni

Kaongelea Usafiri wa Majini

MV Victoria
MV Butiama
MV Mwanza Hapa Kazi tu
MV Umoja

Ujenzi wa Cherezo

Meli ya Mafuta
MV Liemba

Ziwa Nyasa Meli mpya

Znz wamenunua meli 2

Ampongeza Shein
 
Meli mpya inajengwa kati ya Mtwara na Comoro.

Ujenzi wa Meli kuelekea DRC ili kuzuia mzigo kupita Zambia

Vivuko vipya kujngwa
 
Usafiri wa Anga

Ujenzi wa viwanja 11 vya ndege

Kutafuta mkandarasi wa ujenzi wa Msalato International Airport

Ujenzi wa Ring roads Dodoma

Ufufuaji wa ATCL

Ununuzi wa Ndege 11

8 tayari zimefika

3 zinajengwa

Aongelea ujenzi wa Radar 4 Tz
 
Nishati ya Umeme

Kinyerezi 2 MG 240
Kinyerezi 1 MG 350

Bwawa la Nyerere
 
Watumiaji waUmeme wameongezeka kutoka 35pc hadi 85pc

Imeongezeka kwa sababu ya kupunguza hela ya kuunganisha

Aongelea kutokatika Umeme

Aokoa bilioni 700 kwa Mwaka baada ya kuzima IPTL Aggreco na Symbion.

Tanesco sasa inaweza jiendesha
 
Hivi icho kidude mnasema anakisoma halina reflection Kati ya miwani ya JPM na hicho kidude naangalia kwa makini hyo miwan nione Kama ntaona kitu
 
Aongelea Kilimo
Mbolea
Masoko
Vyama vya ushirika
Ufugaji waongezewa eneo na hivyo kupunguza migogoro.

Wamejenga mabwawa.

Wameanzisha Kanda 3
Victoria. Tanganyika. Pwani

Aongelea Mpina kutumia Rula kupima samaki.

Wafugaji samaki waongezeka kufikia 26000

Mabwana ya Samaki yamefikia 26000

Vifaranga vya Samaki vyafikia milioni 15
 
Watumiaji waUmeme wameongezeka kutoka 35pc hadi 85pc

Imeongezeka kwa sababu ya kupunguza hela ya kuunganisha

Aongelea kutokatika Umeme

Aokoa bilioni 700 kwa Mwaka baada ya kuzima IPTL Aggreco na Symbion.

Tanesco sasa inaweza jiendesha
Hayo majamaa ma IPTL yakikuwa yanabeba hela za bure kabisa yani

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Watumiaji waUmeme wameongezeka kutoka 35pc hadi 85pc

Imeongezeka kwa sababu ya kupunguza hela ya kuunganisha

Aongelea kutokatika Umeme

Aokoa bilioni 700 kwa Mwaka baada ya kuzima IPTL Aggreco na Symbion.

Tanesco sasa inaweza jiendesha
Hapa kweli anastahili pongezi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…