Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TBC NI WANAA KWELI YANI WANAONESHA MARA BARABARA MARA MAJENGONishati ya Umeme
Kinyerezi 2 MG 240
Kinyerezi 1 MG 350
Bwawa la Nyerere
Sasa hivi ntahamia airtel kwakuwa hela yangu inaenda selikaliniAirtel walibanwa wakaachia hisa
Nashangaa kina Mbowe sijui wanataka nini tenaMagufuli apewe miaka 5 mingine bila kupingwa
Hayo majamaa ma IPTL yakikuwa yanabeba hela za bure kabisa yaniWatumiaji waUmeme wameongezeka kutoka 35pc hadi 85pc
Imeongezeka kwa sababu ya kupunguza hela ya kuunganisha
Aongelea kutokatika Umeme
Aokoa bilioni 700 kwa Mwaka baada ya kuzima IPTL Aggreco na Symbion.
Tanesco sasa inaweza jiendesha
Hapa kweli anastahili pongezi!Watumiaji waUmeme wameongezeka kutoka 35pc hadi 85pc
Imeongezeka kwa sababu ya kupunguza hela ya kuunganisha
Aongelea kutokatika Umeme
Aokoa bilioni 700 kwa Mwaka baada ya kuzima IPTL Aggreco na Symbion.
Tanesco sasa inaweza jiendesha