BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

nIMEISIKILIZA CLIP YA AUDIO JAMAA ALIZUGA KUPUNGUZA SAUTI ILA NIMEMSIKIA CLEAR BILA CHENGA HALAFU NAIBU SPEAKER KAMWAMBIA AENDELEE KWANI NI NAFASI YAKE KAPEWA KUONGEA. KWELI MBOMBO NGAFU
 
Ni jaribu kubwa kwa Spika. Baada ya amri yake ya jana mtu wa kwanza kutukana ni kutoka Chama chake, nafikiri hakutarajia hii. Tusubiri maamuzi na hasa baada ya Mh Serukamba kuomba kauli yake ifutwe.
 

na kwa bahati mbaya sana ndani ya ukumbi wa spika walikuwepo wanafunzi wa shule wasichana. Spika nae alikuwa amekalia kiti chake cha ubunge. What embarassment!! Natarajia kilio kikubwa toka kwa wadau wa maadili!!!
 


ameomba radhi lakini sjui anakulaga mmea kidogo kabla ya kuingia mjengoni .msikie akiomba radhi https://soundcloud.com/newsaddict/mheshimiwa-akiomba-radhi
 
Kwa upeo wa Serukamba nimemshangaa kujiingiza kwenye operation chaos ya nape,mwigulu na wile malecela
 
Sijui kama wananchi wa Kigoma walimtuma kusema hivyo au ndio hitaji lao kuu kwenye bajeti hii.Sina hakika kama huu ndio msimamo wa chama chake CCM na ni sera yao. Aidha kama chama chake kina mwenyekiti makini anayejali hisia za watu wake, basi atatoka mbele haraka na kukwemea tabia hii hadharani. Huu ni mtihani kwa Spika kuonesha kuwa anamaanisha anachokisema au anasibitisha kuwa yeye ni dhaifu aliyejaa upendeleo wa dhahili na wa kificho. Pamoja na hayo, kiongozi wa shughuli za serikali bungeni, na mwenyekiti wa wabunge wa CCM tutaona uadilifu wao kwa kumkana na kumtenga mtukanaji huyu mbele ya vyombo vya habari. TBC1 iwaombe radhi watazamaji na wasikilizaji wote kwa kulweta matangazo ambayo ni kinyume na maadili kwa gharama ya kodi za wananchi.Tendwa nae atoe neon juu ya hili. Kinyme na hapo, sisi wananchi tutapata maana nyingine ya CCM, yaani...Chama Cha Matukano.
 
Nasubiri kuona watz wakiandamana kuwakataa wabunge watukanaji
 

Aisee, unamjua MWENYEKITI unayemwongelea au unamsikia tu?
 
na kwa bahati mbaya sana ndani ya ukumbi wa spika walikuwepo wanafunzi wa shule wasichana. Spika nae alikuwa amekalia kiti chake cha ubunge. What embarassment!! Natarajia kilio kikubwa toka kwa wadau wa maadili!!!

...pole ndugu, kama ulikua hujui hao wanafunzi wanaletwa makusudi kwa ajili ya vitoweo...
 
Kweli kimtokacho mtu ndicho kilichoujaa moyo wake.
Queen Esther
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…