BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

Huyu jamaa nilishasikiaga sio riski. Labda alikua anawashwa tu. Kamiss basha wake.
 
ingekua alotoa hili tusi ni mbunge wa kile chama kinachoogopwa na CCM pangechimbika. lakini kwa vile ni mwenzao wakapotezea na kujifanya hawajasikia.
Kwa kifupi, yule binti wa kibena bunge limemshinda, haya yote yanasababishwa na yeye anawalewa sana wa chama chake waziwazi bila aibu, unadhani wengine watakubali, she has to face the consequences.
 
labda tuseme cdm wanavurugu ok?!! ivi inaingia akilini kweli wabunge wa ccm wanapotukana na kufanya fujo bungeni na hawachukuliwi hatua kali,nani atakaeelewa ili suala?

kwanini iwe kosa kwa wapinzani kusimama ata mara mia,ilhali ccm wanatusi na wanapeta tu? hawa adi watiane makonde mule ndo akili zitarudi...

kuna upendeleo wa dhahiri kabisaa kweupe pee!!
 
Waliotukana matusi makubwa wako bungeni walioomba mwongozo wamefukuzwa nje nje bunge kwa siku 5. Very interesting indeed!!
 
Kwa matumzi haya ya "f word" bungeni basi Spika aidhinishe rasmi ya kuwa bunge letu sasa ni "X rated" na lisirushwe live kwa jamii yote kuangalia...Kama TCRA wangeadhibu kituo cha televisheni kama kingeonyesha mambo yasiyo na maadili ni vipi Mbunge huyu aliyediriki kutamka tusi kubwa akiwa LIVE ? CHONDE CHONDE busara itumike jamani...
 
There's no way you can justify this, absolutely, NO WAY! Bungeni? Huku ukifahamu fika kwamba kuna watu all over the country wanasikiliza na wengine kuangalia LIVE? Unjustifiable aisee!
It is only valid to your level of thinking not to great thinkers like me..!
 
It is only valid to your level of thinking not to great thinkers like me..!
Yaani na wewe unavyokutana na wenzako unajiita GT!!!
It is only valid to your level of thinking not to great thinkers like me..!

Yaani na wewe unajiita GT?! u-GT wanauona watu kutokana na hoja zako na sio wewe mwenyewe ujiite GT...Lililo dhahiri ni kwamba, hata tukisema tuteue ma-GT 200 hapa JF basing on their contributions, wewe huwezi kuwa mmoja wao labda kama wapiga kura awe Serukamba unaye-justfy upumbavu wake huku akishirikiana na mwenzake Lusinde.
 
jf bwana.....unakuta kajamaa kapo secondary ya vodafasta kana-argue na lecturer wa UD......
 
Ninasikitika kusema tu ametukana bila kuonesha njia tufanyeje. Kimsingi huwa sina habari na bunge hili. Hata hivyo bado najua wanatumia fedha yangu 'kodi'.
Je sisi tulioudhiwa tuna weza kufanyaje juu ya hili, ikiwa raisi, bunge na wabunge wenyewe hawaoni, je kama wananchi kwa wakti huu, sio hadi uchaguzi; tunaweza kufanya nini. Wasomi wa sheria na mambo ya kisiasa watujuze. Ninatamani iwe inawezekana kuwakataa hata kwa jinsi yoyote.... naogopa nisiendeleee nisije kusema neno baya.
N
 
Huyu mtu alifaa afukuzwe ubunge kwani hana hata chembe ya heshima kwa kutoa tusi kama hili hadharani, huku akijua wazi kuwa kuna mamilioni ya Watanzania wa rika na ngazi tofauti, wanamsikiliza. Wanaomtetea wanasema kuwa kaomba msamaha, hiyo haitoshi maana hata wengine watafanya hivyo hivyo na kuomba msamaha. Jeuri hii ya viongozi ndio ilipotufikisha hapa, na tukiwandekeza, mwisho wa siku watafikisha taifa hili kuzimu!

[video=youtube_share;0R9pp1LmGCg]http://youtu.be/0R9pp1LmGCg[/video]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…