YeshuaHaMelech
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 2,596
- 37
Point Sir!Tusipende vitu rahisi rahisi, Chadema should not waste their time na Wapinzani wengine wasiotaka kuelewa political mood ya wananchi, waacheni wafu wajizike wenyewe!
William.
Kumbe unajua kuandika post zilizoenda shule eeh!- Chama cha siasa chenye nia njema na wananchi na hasa taifa hupigana mpaka mwisho wa vita by using all means afforded by the law of the land for this nina maswali mengi sana of what was the original goal of CUF na ni nini hasa muelekeo wao mbele ya safari maana so far haueleweki kama ni taifa, wananchi au kutaka power tu!
- As much as I like mufaka bado siwezi ku-betray my political revolutionary mind kwamba this new mufaka thing is simply majibu rahisi rahisi kwa maswali magumu, I mean calling a spade for what it is CUF wamekubali kushindwa, kwamba njia zote zinazokubalika kisheria kwa wao kushinda uchaguzi huko Visiwani zimewashinda na hawana uvumilivu unaotakiwa katika siasa za taifa kama ule wa kina Mandela!
- Now let me ask this, kwa nini Chadema wanataka kuungana bungeni na hawa political jokers?
William
Kumbe unajua kuandika post zilizoenda shule eeh!
Haa ha ha ha haaa!! Lazima uwe CCM, maana ndo iliyokulea. Ebu niambie wewe ni ndugu yake na mwere Malecela?? Yuko wapi siku hizi? nasikia baba yake alishindwa ubunge- Well let me say this I am a revolutionary mind na in my own capacity and rights, ninataka mabadiliko ya kulisaidia taifa langu regardless yanatokea wapi, sijajifunika blanket la unazi wa vyama au viongozi, ingawa I am a CCM tena damu sana lakini I follow smart and modern politics, na mimi sio bendera au a uniform hapana na sipo hapa kutafuta cheap popularity hapana, ninajaribu kujadili siasa za taifa langu kwa kujali facts na ukweli wa kisiasa at hand.
- Sasa sometimes nitasema things good kwa chama fulani na wakati mwingine bad kwa chama fulani lakini nia na madhumuni yangu ni taifa mbele sana vyama vya siasa na viongozi huja nyuma, sasa hapa naona nimesema mengi yanayokubalika na Chadema ninakuwa Great Thinker sawa sawa ha! ha! ha! kesho nikisema tofauti na kujali taifa mbele yatakua mengine you know what kuelimishana kuhusu taifa hakuna aliyesema ni kazi rahisi na maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge, kwa hiyo karibuni sana wakuu tujenge taifa letu japo kwa mawazo tu kama tunavyofanya hapa JF.
- Kwa hiyo thaanks brother for the compliment, but no thanks cause I know who I am no need any of add! ha! ha! ha!
William.
Haa ha ha ha haaa!! Lazima uwe CCM, maana ndo iliyokulea. Ebu niambie wewe ni ndugu yake na mwere Malecela?? Yuko wapi siku hizi? nasikia baba yake alishindwa ubunge
CUF waache unafiki wao, wanataka vihusishwe vyama vyote mbona wao kwenye miafaka yote waliyowahi kufanya kule zenj hawajawahi kuwashirikisha wapinzani wengine? CUF wana typical roho ya kipemba ya ubinafsi. They can go to hell. Wao wacha wafaidi makombo kwenye meza ya CCM kutokana na ndoa yao ya mkeka na chama cha mafisadi.
Hii kitu ya unazi wako na sisi em sometimes huwa inakufanya upoteze umakini ktk post zako.ingawa I am a CCM tena damu sana
Hii kiu ya unazi wako na sisi em sometimes huwa inakufanya upoteze umakini ktk post zako.
Tunajua chadema wanajiamini sana na wanajiona sana. yaani wao ndo wao. Wakati bunge lililopita CUF ilikuwa na wabunge wanaokidhi kuunda serikali kivuli chadema walikuwa na wabunge 11 tu lakini CUF iliwashirikisha na tena slaa alikuwa kiongozi msaidizi kambi ya upinzani bungeni. But they see they are every thing. lakini subirini mtaona yatakayowakuta. Nakisha watayaona. Aslani. Wala hatutarudi nyuma.
Mkuu kumbuka Fuhrer Maalim Seif umri ndo unayoyoma na mapambano yakee yoote ilikuwa atawale yeye tu na sio hata kuwasafishia njia wana-CUF wengineo endapo hatabahatika kuchukua madaraka! sasa kaona bora ajiunge asife bila kuonja matamu ya madaraka! sasa jiulize atakapokuwa hayupo yaani akijifia CUF itakuwa na mustakabli upi? nauhakika kitakufa bila kuficha na wala siumi maneno!- Chama cha siasa chenye nia njema na wananchi na hasa taifa hupigana mpaka mwisho wa vita by using all means afforded by the law of the land for this nina maswali mengi sana of what was the original goal of CUF na ni nini hasa muelekeo wao mbele ya safari maana so far haueleweki kama ni taifa, wananchi au kutaka power tu!
- As much as I like mufaka bado siwezi ku-betray my political revolutionary mind kwamba this new mufaka thing is simply majibu rahisi rahisi kwa maswali magumu, I mean calling a spade for what it is CUF wamekubali kushindwa, kwamba njia zote zinazokubalika kisheria kwa wao kushinda uchaguzi huko Visiwani zimewashinda na hawana uvumilivu unaotakiwa katika siasa za taifa kama ule wa kina Mandela!
- Now let me ask this, kwa nini Chadema wanataka kuungana bungeni na hawa political jokers?
William
Revolutionaries can never be born out of a group of Seif and Lipumba's likes mark my WordsChama cha siasa chenye nia njema na wananchi na hasa taifa hupigana mpaka mwisho wa vita by using all means afforded by the law of the land for this nina maswali mengi sana of what was the original goal of CUF na ni nini hasa muelekeo wao mbele ya safari maana so far haueleweki kama ni taifa, wananchi au kutaka power tu!
- As much as I like mufaka bado siwezi ku-betray my political revolutionary mind kwamba this new mufaka thing is simply majibu rahisi rahisi kwa maswali magumu, I mean calling a spade for what it is CUF wamekubali kushindwa, kwamba njia zote zinazokubalika kisheria kwa wao kushinda uchaguzi huko Visiwani zimewashinda na hawana uvumilivu unaotakiwa katika siasa za taifa kama ule wa kina Mandela!
- Now let me ask this, kwa nini Chadema wanataka kuungana bungeni na hawa political jokers?
now you talk like Rene Descartes the father of great thinkers, Lipumba na Hamadi ni vibaraka wakubwa wa CCM wapo kwa maslahi binafsi , kama Chadema wanataka kuwa wapinzani wa kweli waachane na hawa vibaraka, vyama vyote vilivyopo bungeni ukiacha chadema vina mkono wa CCM, TLP Mrema alimpigia kampeni JK , UDP Cheyo alimpigia kampeni JK, NCCR Mbatia alitumiwa kudhoofisha Chadema, CUF wapo kwenye muafaka na CCM. Chadema hawana haja ya kuungana na vyama hivyo kwenye upinzani ni kupoteza muda, nina uhakika kabisa CUF, TLP na NCCR vitatumiwa na CCM .