Burna Boy: Sina nguvu za kiume ila nina pesa nyingi

Hu
"Nasifiwa kwa mapenzi na mademu/
wanapagawa mpaka wananiita haaaaandsoomee"
Huu ulikuwa Ni utunzi tu wa nyimbo,haya maneno aliyoimba Wala hayana uhusiano na uhalisia
 
Huyo steflon don't Mimi pre ejaculation moja tu angeitwa mama siku nyingi sana
 
Lakini mbona jamaa anaonekana mtu wa zoezi sana, hii ishu ya nguvu za kiume inazidi kuwa sugu kwenye jamii, ila mipombe nayo wanayokunywa inawamaliza.

Watu wanachelewa kuzalisha. Bao la mtu wa 16 mpaka 28 huwa lina nguvu kubwa kutungisha mimba.. kuliko bao la over 28. Use google kufanya research kuhusu Men sperm quality
 
Huyu wa kwetu pia wanawake warembo wanamuacha na utabiri wote alio nao ila kwa maadili ya ki-Tanzania wamemtumzia Siri.
 
"Pesa haina maana kama shughuli huna mwanamke atakukimbia "..

Bro unaijua stress ya kutokuwa na hela

yaani njaa ikupige, unadharauliwa na ndugu hadi mbwa wa mtaa wanakubwekea ukipita kwa jinsi unavyonuka shida, madeni kila kona na hata hujui usiku utakula nini,

hizo nguvu za kuwaza sex unatolea wapi
 

Huyo bado mtoto hajui kwa nini

Wahenga walitunga msemo adui muombee njaa.

Kukosa pesa maana yake ni njaaa . Sasa anafananisha njaa na sex
 
Kama unasoma uzi huu na haugegedwi vizuri njoo PM
 
Huyo bado mtoto hajui kwa nini

Wahenga walitunga msemo adui muombee njaa.

Kukosa pesa maana yake ni njaaa . Sasa anafananisha njaa na sex

Njaa mbaya sana brother

Imagine ukiingia muhimbili kuna wagonjwa kibao wanarudishwa home sababu hawana uwezo wa kugharamia matibabu, kiufupi wanamuacha mgonjwa afe huku wanamuona na hata maiti yake ikiwa ghali kuitoa wanaitelekeza

Na hata street tu mtu anaona kheri ameze panadol kuliko kwenda hospitali maana, hata buku mbili ya kula hana, atapataje hela ya vipimo na dawa

Hivi JF wanaujua umaskini 😁😁😁😁, itakuwa exposure tunadhani ni kwenda USA, hata ukienda kwa mtogole ni exposure pia
 
Sasa huo NI UFUKARA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wanashangazaa kweli humu ndani.

Waelezeeeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…