Burna Boy: Siwezi kutongoza Mwanamke wa Kiafrika, wananjaa sana, wanamtazama Mwanaume kama begi la hela

Bora afrika unatoa pesa papo Kwa hapo, afrika hata unaweza kuhonga mahakama wakapindisha sheria, ukasalimika na Mali zako lakini ulaya hazichukuliwi pesa tu Hadi majumba na mengine mengi mnagawana, kina Eboue walikuwa wakilipwa mapesa Arsenal Sasa hivi Kawa msela mavi wa mburahati
 
Mwanaume wa Kitanzania na Afrika ni mgodi unaotembea
 
Hivi wanawake anaowakubali ndio kama wale wanaowafilisi kina Tyrese Darnell Gibson, Ken Rathbun, Adrian Peterson, Elon Musk &Grimes, Deion Sanders, John Depp na Michael Jackson bila kumsahau Donald Trump vs Stormy Daniels kwa makesi ya watoto na mshiko!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…