Umenena mkuu.Haswaa,hatutaki ujinga tuna akili zetu na kuelewa.
Nakumbuka lile tamasha kigoma yani hata kampeni hazijaanza za 2020 et usikuuuu domo akapigiwa simu na ile taharuki iliyofukiwa wakaongeaaaa.Halafu domo akasema "baba ww ni tano tenaaa hakuna wa kupinga"
Mwenye clip atuwekee hapa.
Hamna cha kupiga kura wala nini! Tunampigia burnaboy
Mnashindwa kupambania mifumo ili chama lenu lije lishinde kwenye uchaguzi alafu nyie mnakuja kumchukia diamond
KwakweliIngekua kura zenu zinaleta ushindi msingeshindwa uchaguzi mkuu kila awamu
Kwa vyovyote vile African Giant lazima ashinde, yani hata kama wapiga kura wangekua wawili tu yani burnboi na naseeb tu, Obviously angeshinda Burnboi maana Naseeb mwenyewe angempa kura yake.BET kuna kipengele cha Humanitarian Award kwa hoja hii kule Burna Boy ndio anastahili. Ila kwa sehemu aliyowekwa na Naseeb hii hoja ya kujitolea kwa watu haina mashiko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahahaaaaaa hezha yako mkuu kama hasira na sisi tunazo Ila tumetuliaKwanini unakuaga na makasiriko sana. Hii inaweza kuwa inasababisha na wewe kuwa single mom?
Hizi harakati zimewafanya hata ambao hawakuwa na mpango wa kumpigia kura Diamond wameamua kumpgia. Maana karibu wasanii wengi wameamua kusimama naye
Kule hakuna kuingiza Kura za kwenye mabox kama mnavyofanya hukuIngekua kura zenu zinaleta ushindi msingeshindwa uchaguzi mkuu kila awamu
Kule hakuna kuingiza Kura za kwenye mabox kama mnavyofanya huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaahIlo suala halina ubishiView attachment 1804106
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini unakuaga na makasiriko sana. Hii inaweza kuwa inasababisha na wewe kuwa single mom?
Mshindi awe domokaya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi nyie wafuasi wa domo ile sio tuzo ya Killi? KhaaaahWazee mizuka halafu Mungu alivyokiwa si Athuman yanaweza yaka jirudia ya Stoneboy na Black Coffee mkashangaa mshindi akawa Diamond.
Nyie sio watu Ata Tundu Lissu mli mdanganya hivi hivi kuwa mtampa kura za ushindi, mwisho wa siku akaambulia mbunge mmoja, nyie ni kama NZI