Busara kidogo inahitajika katika hili

Na hili wanaume ndio tujifunze. Unapanda ulichovuna.

Kuna mzee alijitetea vyema kwa mwanae akaeleweka. Yeye alikimbia shauri ya ugumu wa maisha, alijielezea mpaka mtoto machozi yakamtoka. Mimi binafsi, aliyekimbia kwa shauri ya ugumu wa maisha walau naweza kujenga naye bond, lakini sio yule anayekuja kwa kulazimisha.

Huyu wa kwako ni miyeyusho ale kona tu. Japo, hujaeleza vema stori hasa ilikuaje, inaonekana alitema shit kwa mama yako. Maana haiwezekani hata kama walikua hawana good terms bado si sababu kutokukuhudumia.
 
kikubwa ushukuru umezaliwa na unaakili timamu baba wakweli hawezi sema Mama ako ndo anamakosa wanaume hua tunameza Moto usikute baba mzazi alivosikia mama ako kakunwa na nahuyo mlezi akaamua kumuacha kuepusha dhahama

Kwangu muheshimu Sana aliyekuleta duniani mama zenu Hawa changamotosana
 
Muulize mama ako sababu ya baba ako kukutelekeza, maana kwa hili swala wamama wanapenda sana kuplay victims wakati nyuma ya pazia wao ndio sababu ya kuwatenganisha watoto na baba zao. Nasema haya kwa sababu thats what im going through right now,
Imagine mwanamke anakutegea mimba kwa makususdi
  • Haujawahi kupanga kumuoa wala hamjawahi kuzungumzia suala la kuzaa wala haujawahi kumtongoza kumtamkia neno nakupenda it was just a company ila mwisho wa siku anakwambia ana mimba
  • Unakubali kugharamikia na kuishi naye kwa sababu ya kijacho na sio mapenzi
  • Kipindi mkiishi anakuletea visa na visanga ambavyo havivumiliki (kucheat akiwa na mimba, malimbwata) ila unamezea kwa sababu unajua sio type yako ni kumhurumia tu ajifungue salama
  • Anajifungua umegharamikia kila kitu ila kwa sababu anajua hautomuoa anakufanyia visa ili ukasirike umtelekeze mtoto ili akajihurumishe kwa watu wengine kuwa amezalishwa akatelekezwa ili hali baba unamjali mtoto na unamgharamia vizuri tu
Wakati mwingine wamama ndio huwa wanalazimisha hii hali esp. pale anapojua kuwa mwanaume hana mpango wa kumuoa lakini anagharamia mtoto, kwa hiyo kwa maksudi wanaforce mazingira ya kumfanya mwanaume amtelekeze mtoto ili kumtia ubaya kwenye jamii.
Wanawake wengi wanatumia watoto kama fimbo za kuwatia ubaya wanaume waonekane hawajali kumbe ni ujinga wao wa kudhani ukimtegea mimba mwanaume ndo atakuoa.
 
Labda kama utachukulia neno BABA ni kama title ila biologicaly hata upinge vipi binti ana damu ya baba aliyekimbia mimba na hili linaweza kuwa proven scientificaly with clear evidence .

Ila tukija kihisia na connection binti anayo sana kwa huyu baba mlezi maana ndo amekuwa naye ila kaa ukijua jamaa kujitambulisha kwa binti tayari ameshakuwa part ya maisha yake .

N.b
Hakuna mbegu inatengenezwa maabara from scratch labda kama una ushahidi timilifu .
 
There are two sides in this, ungefuatilia story upande wa pili pia ili uunganishe na upande wa kwanza maana hata ukatae vipi DAMU NI NZITO KULIKO MAJI.
 

Mbegu ya kuzalisha inaweza ikatoka hata Kwa marehemu, binadam mwenye utu na na roho ya kulea na kutunza should be respected and appreciated beyond anything.
 
Rudia kusoma vizuri, utaona mleta mada amesema mzee alikiri alikosea, na sababu ni mambo ya ujana.

By the way, ukigombana na mama unapata uhalali wa kumtelekeza mtoto? This is one lame excuse!
 
Hivi mnaposema mwanamke kakutegea mimba hii inakaaje? kwamba unakua hujui kukutana bila kinga inaweza sababisha mimba au huwa mna maana gani?
 
Rudia kusoma vizuri, utaona mleta mada amesema mzee alikiri alikosea, na sababu ni mambo ya ujana.

By the way, ukigombana na mama unapata uhalali wa kumtelekeza mtoto? This is one lame excuse!
Hawa ndio wanaotelekeza watoto kwa sababu za kijinga sasa angalia sababu alizoandika hapo yaan hamna sababu yoyote ya msingi wanakimbia tu majukumu yao.
 
Upo sahihi but uliopoanza kuingizia habari za kumbadilisha mtoto ubini wa baba yake hapo ndipo ulipokosea kabisa. You can never deny a child his/her right to biological father sababu ya chuki zako tu.

Huyo mama yuko sahihi sana regardless ya situation aliyepo nayo.
 
Pole sana kipenzi

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 

Baba aliyemkataa mtoto amesham-deny mtoto wake haki zote including kutumia jina lako; na yeye amejitoa kwenye maisha ya mtoto. Sasa huyu binti amepata faida gani kuitwa kwa jina la baba yake aliyemkataa? Kuna ndugu wa baba yake waliomtafuta kwa sababu jina lao ni sawa na la huyu binti?. Sidhani kama wewe kwako unajali sana mtoto wako kutumia jina lako pasipo wewe kuplay part yako kama baba kwake. Yaani mtoto umkatae then ulazimishe atumie jina lako? Ndiyo maana watoto wengine wanatumia majina ya ujombani. Ukikataa mtoto, unataka atumie jina lako ili iweje sasa?

Sio uchungu bali ni ukweli mchungu. Majina ya baba yake halisi atatajiwa tu akikua.
 
Itabakia hivyo tu but hakuna decree ya kusema baba ame deny haki zake kwa mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…