Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama haujapanic basi una kaugonjwa kanakotibiwa Mirembe, yaani katika hoja yote aliyojenga Malisa wewe umeona kumuita Halima mzee Halima tu basi?Kweli chadema ina watu wajinga sana!
Yani Malisa nae kajiunga na kigogo kumuita Halima mzee?
Historia inaonesha kwamba pale chadema kila mtu huwa anasurubiwa kwa wakati wake kulingana na nyakati!
Zitto pamoja na kupigana hadi jasho la damu lakini lilipokuja suala la maslahi ya Mbowe alikiona cha moto
Slaa pamoja na kuvunjika hadi mikono akipigania chadema lakini lilipokuja suala la maslahi ya Mbowe alikiona cha moto.
Sasa hivi ni zamu ya Mdee!
Huyu Malisa ni kidagaa tu pale chadema, ningekuwa mimi ningejikalia kimya tu bila kumkejeli Halima.
Anataka kupandwa mgongoni ?Ndugai shida yake ni Mbowe, anaumuonea wivu Mbowe toka wakiwa Kibaha Secondary
2017, CCM ilimfukuza Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT na mbunge wa VM) kwa tuhuma zikiwepo kumuunga mkono Edward Lowassa (aliyehamia CCM wakati huo). Lakini Ndugai hakusimama kusema CCM hii ya Magufuli inawanyanyasa wanawake. Ikawasamehe wanaume na kumpa adhabu mwanamke.Chadema ni imani nimekuelewa sana
Huyu siyo mpwa bali ni MpwakokoHahaha...Mpwa, unakuwaje na mashaka tena?
Kwa akili yangu,kumlinda mzee halima na wenzake maana yake ni kuiambia dunia kwamba serikali hii haifuati sheria,kwa hiyo wewe kama unataka kwenda kuwekeza Tanzania,just go at your own riskBwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia.
Malisa GJ
Mosi; Huu uchungu anaouonesha Ndugai sio wa Mzee Halima na wenzake kupigwa, ni uchungu wa kupoteza yale matrilioni ya wafadhili. Ameshaona dalili zote kwamba hata akiwalinda akina Mzee Halima na wenzake waendelee kuwa wabunge, wafadhili wanaweza kugomea kutoa yale matrilioni.
Pili; Mzee Halima na wenzake hawakupigwa kwa ajili ya Mbowe. Walipigwa kwa sababu ya kutetea haki zao. Walipotolewa Segerea askari magereza waliwapiga kama vibaka kwa sababu tu walienda kupokelewa na wafuasi wao. Mashinji alipokelewa na msafara wa wafuasi wa CCM wakiongozwa na Chakubanga lakini hakupigwa. Double standards. Kama kweli Ndugai ana uchungu angewakemea wale askari waliofanya unyama ule sio Mbowe.
Tatu; Mzee Halima na wenzake hawajafukuzwa bila kusikilizwa. Walipewa haki ya kusikilizwa (audi alteram partem) lakini wakakataa kuitumia. Waliitwa kwa maandishi kwenye kamati kuu ili wasikilizwe wakagoma. Sasa Bwana Ndugai alitaka chama kifanyeje? Hata mahakamani mtuhumiwa akikataa kujitetea bila sababu za msingi, mahakama hulazimika kuamua kwa kusikikiza upande mmoja.
Nne; Maamuzi ya Chadema hayakufanywa na Mbowe. Yalifanywa na Kamati kuu ambayo ina wajumbe zaidi ya 40. Ni ujinga kuamini wajumbe wote hawakua na sauti isipokua Mbowe peke yake. Ndugai elewa kwamba Mbowe sio kamati kuu ya Chadema.
Tano; kumbe Ndugai anajua Mzee Halima na mwenzake walipigwa hadi wakazimia pamoja na kuvunjwa mikono na askari magereza? Unyama huu aliwahi kuulaani popote? Aliwahi kumuita Kamishna Mkuu wa Magereza kwenye kamati za bunge ajieleze kwanini Askari wake walifanya unyama ule tena kwa wabunge wanawake? Au aliona ni sawa tu kwa sababu walikua Chadema. Leo wamefurushwa ndio anasikia uchungu.
Huu utaratibu wa mtu kuonewa lakini unakaa kimya kwa sababu sio wa chama chako sio ubinadamu kabisa. Ningemuona Ndugai ana hoja kama angekemea tukio lilipotokea. Sasa Mzee Halima ameshapona na kusahau ndio Ndugai anasikia uchungu leo? Haina tofauti na mkeo kulia kwa uchungu na kukuomba msamaha kwa sababu ya vita vya majimaji eti babu yake alishirikiana na wakoloni kuwapiga wazawa. Wendawazimu.!
Jamani pigeni kazi huku mkitanguliza Uzalendo mbele Over...! Sijuhi Ndugai kakosea hizo story acha haraka sana.Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia.

Malisa too low for you kumuita Halima Mdee..Mzee Mdee..
Wewe Malisa kuna wengi tunakuheshimu
Unaweza kuandika hoja bila kuingia kwenye matusi ya mitandaoni...
Halima hata kama sasa kawa adui
Ana mchango wake na heshima yake..kama mwanamke na kama binadamu kwanza..
Msisahau mlivyomtukana Zitto kipindi kile
Leo ni mshirika wa upinzani hadi Tundu Lissu kaenda kumpigia kampeni jimboni kwake..
Kuna maisha baada ya siasa
Hivi mmesahau kuwa Ndugai mwaka 2015 aliwahi kumtwanga kwa fimbi kichwani Mshindi halali kwenye kura ya maoni??Hivi sijui.kwanini CCM mara zote huwa hawajibu hoja badala yake humshambulia mtu na kuacha hoja za msingi. Sasa ukisikiliza majibu ya Ndugai utaamini kuwa ni mtu mwenye sifa ya kuwa spika wa bunge? Mbona ni kama mjinga fulani asiyekuwa na elimu yoyote kichwani?
Watamfahamishaje kama nani?! wakati hawamtambui spika wala uwepo wa bunge lenyeweMimi hizo sababu zako zote natofautiana ila la msingi ni kwamba ndugai atajidhalilisha kama ataruhusu wabunge wasiokua na chama bungeni.
Wanachohitajika kufanya CHADEMA ni kulifahamisha bunge rasmi kuhusu kuwatimua chama hao wabunge wao.
Tena CHADEMA waweke wazi kwa wananchi kuhusu hatua hiyo kisha tuone kama ndugai hatawatimua kina halima bungeni.
Isije kua janja na hila za mbowe na mnyima kuvunga na kufanya propagandakwa kumbe taarifa rasmi kwa ndugai hawajatoa wala hawatatoa.
Ni kweli kabisa Mkuu. Acha wenye mamlaka waendelee kuvunja Sheria na kuikanyaga Katiba ya Nchi.Relax mzee, hizo ni 'tambo' tu katika siasa.
Of course 'mzee mdee' kapoteza legacy yake kutokana na tamaa ya tumbo na mamlaka. ! Wao Chadema washamaliza kazi.
Hapo kwenye "tumsamehe" ina maana asamehewe kwa kuharibu au asamehewe kwa lipi!!!Ni kweli bro msaada unahitajika lakini kwa taarifa za wataalam wa matibabu ya lile gonjwa sugu ni kwamba ikifikia "stage" ARV zikishazidiwa nguvu (stage ya moto inaitwa) mgonjwa anaanza kubwabwaja kila kimjiacho kinywani na mara nyingi anakuwa ni mtu wa hasira kali an visilani...tumsamehe tu kwani tayari watanzania wengi tunajitambua na kikubwa zaidi tunaelewa ila za watawala wa sasa
Ndiyo ujue sasa kuwa mambo yameharibika na usiweshabiki mandazi pasipo kujiuliza au kujua unashabikia nini. Huwa na soma mandiko yako sana nakosaga hata cha kukoment. To be honest tusipokuwa makini na kuungana kulinda heshima ya nnchi yetu tutakuwa kituko juuu ya vituko vya watawalaaa.Kuwaambia waandishi wa habari wasiende kuwahoji wastasfu akina Msekwa kwamba hawajui mambo yalivyobadilika imenitia shaka kidogo!
Katiba inasema uchaguzi mkuu ni nini?Katiba inasema chama chochote kikifikisha asilimia 10+ ya kura kwenye uchaguzi mkuu lazima kiteue wabunge wa viti maalum.
Katiba haisemi kwamba uchaguzi mpaka ukiwa huru na haki ndiyo uteue
Kwa maana hiyo kukataa kuteua wabunge wa viti maalum kwa kisingizio cha uchaguzi haukuwa huru ni kuvunja katiba ya nchi.