Pamoja mkuu,naona tunaenda kucheza bingwa wa CAF CL Al Ahyl na pia tulishacheza na bingwa wa CAF CC USM AlgerNiamini mimi,Tena Ahly atapata pointi 3 kwa goli la penati nyumbani kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo ndio unajua kuwa mpira hauchezwi mdomoni?Mpira hauchezwi mdomon yaani tayari unamatokeo yako mfukoni maisha sio marahisi hivyo
Sawa,nje sawaKumtandika al-ahly nje ndani sio rahisi.
Yanga hatuna iyo mentality. Sisi tunakupigia mpira kwako na kwetu hatunaga uwanja wa away kama unabisha waulize tp mazembeTuache utani usiokuwa na faida, Simba na Yanga wakiwa na kauli mbiu ya kila mtu ashinde mechi zake wote wanaingia robo fainali.
Kanuni ya group stage usikubali kufungwa Nyumbani, make sure hata awe nani anaacha point zote 3 maana yake unabeba point 9, mechi za nje hata ukipata drop moja unakwenda robo fainali, hii hesabu Al Ahaly ndio wanaiishi, ndio sababu huwakosi kwenye robo fainali.
[emoji1][emoji1]Wana akili ndogo na mihemko
Hasa mashabik wa yanga wanafanya watanzania wote tuonekane hamnazo
Ulitaka walieLeo ndio unajua kuwa mpira hauchezwi mdomoni?
Wakati Ally Kamwe anaicheka Simba kupangwa na Wydad mpira ulikuwa unachezwa mdomoni sio?
View: https://youtu.be/RFCN6UcAR-0?si=QTx83CFXicBgk66Q
Hao hatuwaulizi tunawauliza ihefuYanga hatuna iyo mentality. Sisi tunakupigia mpira kwako na kwetu hatunaga uwanja wa away kama unabisha waulize tp mazembe
Asante Kwa kumpa shule huyo Dr Matola PhDYanga hatuna iyo mentality. Sisi tunakupigia mpira kwako na kwetu hatunaga uwanja wa away kama unabisha waulize tp mazembe
Hata mwaka jana mlisema hivi. Bado hamjifunzi nyieUtopolo asnteni kwa kushiriki [emoji23][emoji23]
Alikamwe ndo nani kwenye footballLeo ndio unajua kuwa mpira hauchezwi mdomoni?
Wakati Ally Kamwe anaicheka Simba kupangwa na Wydad mpira ulikuwa unachezwa mdomoni sio?
View: https://youtu.be/RFCN6UcAR-0?si=QTx83CFXicBgk66Q
Tatizo la simba huwa wanawahi kuridhika saaana, inakera kinomaMimi Simba damu hakuna kundi rahisi hata kidogo.
Makundi yote ni magumu.
Msiichukulie poa Asec Mimosa na ,waidad Casablanca.
Simba inahitaji kujipanga Kweli.
Tuliwahi kushinda goli mbili huko ugenini Botswana, wakaja kutupiga Tatu kwa mkapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uto bwanaaHuyu Medeama ana point zetu 6,Al Ahly ana 3 zetu na CR ana point zetu 4.
6+3+4=13.
Young to the quarter final.[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app