CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D
Mkuu, sijipi hope😀,
Kwenye hili pamoja na kusimama na timu yangu ya Yanga, lakini kamwe siwaombei Simba baya lolote lile.
Natamani nikija kuwa kiongozi katika nchi hii basi nikutane na changamoto mpya. Natamani waliopo wafanikishe mengi katika wakati wao ili mimi na wenzangu tutakapokuja basi angalau kama nchi kimichezo tuwe tumeshazoeleka kwenye majukwaa ya kimataifa.
Angalau mimi na wenzangu tutakapoingia, basi tuanze kuhangaika na uanzishwaji na usambazaji wa vituo vya mifumo ya kuchajisha umeme kwenye magari ya umeme, nitafurahi tukiivuka gas kabla hatujaitumia vyema kwenye magari na tuiache kwa ajili ya viwandani tu.
Ndiyo maana katika hili nawatakia Simba kila lenye heri, tuna uzalendo sana na hii nchi, ni vile tu hatupo kwenye mifumo yao hii ya kishenzi na kibadhirifu ingawa popote pale tulipo, hata umalaya tunaofanya si kwa sababu ya nyege bali kwa maslahi ya taifa, kwa uzalendo wetu kwa nchi.
Unajitahidi kuwa na roho hiyo.
 
Huyu Medeama ana point zetu 6,Al Ahly ana 3 zetu na CR ana point zetu 4.

6+3+4=13.

Young to the quarter final.[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha mkuu umenifurahisha sana aisee.... Yani hizo solving ni nyepesi sana kwenye makaratas ila uwanjan yanga hizo points ni ndoto kuzipata....

Mkuu tukiacha ushabik msimu uliopita yanga walikua vizuri sana na pia njia waliyopita ilikua nyepesi.... Mayele ndio alikua Messi wa yanga but sasa hayupo
 
Ahly ya sasa ni bora zaidi kuliko kipnd mnacheza nayo.
Si ndio hawa wamefungwa na USMA Alger au kuna wengine?

Wataanza na Simba tutauona ubora wao tutafanya home work yetu.

Tupo kwenye kizazi cha football revolution, hafagiliwi mtu, Argentina walikalizwa na vibonde Saud Arabia kwenye world cup.

Wacha timu zetu zikomazwe, tumeshavuka stage ya papatu papatu za mechi za Cecafa zimetulemaza sana na tapeli wao Musonye.
 
Hahahahaha mkuu umenifurahisha sana aisee.... Yani hizo solving ni nyepesi sana kwenye makaratas ila uwanjan yanga hizo points ni ndoto kuzipata....

Mkuu tukiacha ushabik msimu uliopita yanga walikua vizuri sana na pia njia waliyopita ilikua nyepesi.... Mayele ndio alikua Messi wa yanga but sasa hayupo
Yanga sio mayele ww yanga ni teamwork, sio simba akikosekana chama kwisha habari.
 
😂😂😂😂😂 wewee
Wewe hizi hesabu unapiga huku ulimfunga USMA ihefu akakubatiza
Kwahyo ihefu bora kuliko wewe?
Na
Kwa hiyo kusema hivyo tuna kubaliana Galaxy ni mkubwa kuliko ww,sababu alikupiga tatu kwa Mkapa.
 
Back
Top Bottom