CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D
Hahahahaha mkuu umenifurahisha sana aisee.... Yani hizo solving ni nyepesi sana kwenye makaratas ila uwanjan yanga hizo points ni ndoto kuzipata....

Mkuu tukiacha ushabik msimu uliopita yanga walikua vizuri sana na pia njia waliyopita ilikua nyepesi.... Mayele ndio alikua Messi wa yanga but sasa hayupo
Njia nyepesi vp wakati bingwa wa shirikisho alimkanda bingwa wa ligi ya mabingwa kwenye supa cup
 
Kibwana inabidi afanye kazi ya kumkaba huyu jamaa
20231006_173658.jpg
 
Tuache utani usiokuwa na faida, Simba na Yanga wakiwa na kauli mbiu ya kila mtu ashinde mechi zake wote wanaingia robo fainali.

Kanuni ya group stage usikubali kufungwa Nyumbani, make sure hata awe nani anaacha point zote 3 maana yake unabeba point 9, mechi za nje hata ukipata drop moja unakwenda robo fainali, hii hesabu Al Ahaly ndio wanaiishi, ndio sababu huwakosi kwenye robo fainali.
Tuombee yanga awe anaanza kucheza mechi zake vinginevyo akianza simba anaingilia michezo.
 
Yanga wameumaliza mwendo.. Simba hapo timu zote tatu tunazijua tumecheza nao na tuliwamudu. Sasa jamaa zangu miaka 25 halafu anakutana na kundi gumu kama hili?
Kwakuwa walipigana wafike hatua hiyo, acha tuwaone wanavyoenda kujipapatua.
 
Tunataka kuwajua wale wazee wa kubadili gia angani ambao washaanza kubwata mitandaoni kuwa yanga apiti kwenye KUNDI kutokana na UGUMU wa KUNDI husika kuliko makundi yote,
Sasa tunahitaji tuwatambue vizuri wasije badae wakaleta mambo ya kikekike hapa ya kuwa Kama Malaya wasiokuwa na msimamo!
Tumeona makundi yote na KUNDI la mtani kapewa utelezi lakini kutokana na Hali yake ya kikosi tutakuja Kuona mengi wacha tusimalize maneno, kufuzu washindwe wao tu itakuwa ni maajabu ya mwaka!
Yanga kapewa waarabu wawili ambao ni moto wa kuotea mbali lakini ubora wa yanga unakwenda kuwafanya waonekane ni wa kawaida ndio maana ninasema kwa herufi kubwa kwamba je "KUNDI LA YANGA NI GUMU AMA NI WABOVU" ???

N;B tukumbuke Aly ahly wanakuja hapa trh 20 kucheza na simbwa ivyo itaturahisishia kujua Kama ni WABOVU ama lah🤣🤣🤣🤣
 
Ahaaaaaaa,
Wanatamani kusema kuwa Al Ahyl ni mbovu,ila wakikumbuka kuwa nao wanaye tarehe 20 mwezi huu nguvu ya kukosoa inaisha
 
Back
Top Bottom