Unajitahidi kuwa na roho hiyo.
 
Huyu Medeama ana point zetu 6,Al Ahly ana 3 zetu na CR ana point zetu 4.

6+3+4=13.

Young to the quarter final.[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha mkuu umenifurahisha sana aisee.... Yani hizo solving ni nyepesi sana kwenye makaratas ila uwanjan yanga hizo points ni ndoto kuzipata....

Mkuu tukiacha ushabik msimu uliopita yanga walikua vizuri sana na pia njia waliyopita ilikua nyepesi.... Mayele ndio alikua Messi wa yanga but sasa hayupo
 
Ahly ya sasa ni bora zaidi kuliko kipnd mnacheza nayo.
Si ndio hawa wamefungwa na USMA Alger au kuna wengine?

Wataanza na Simba tutauona ubora wao tutafanya home work yetu.

Tupo kwenye kizazi cha football revolution, hafagiliwi mtu, Argentina walikalizwa na vibonde Saud Arabia kwenye world cup.

Wacha timu zetu zikomazwe, tumeshavuka stage ya papatu papatu za mechi za Cecafa zimetulemaza sana na tapeli wao Musonye.
 
Yanga sio mayele ww yanga ni teamwork, sio simba akikosekana chama kwisha habari.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wewee
Wewe hizi hesabu unapiga huku ulimfunga USMA ihefu akakubatiza
Kwahyo ihefu bora kuliko wewe?
Na
Kwa hiyo kusema hivyo tuna kubaliana Galaxy ni mkubwa kuliko ww,sababu alikupiga tatu kwa Mkapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…