Yanga kafungwa na Ihefu full stop, habari za kusema flani hakucheza hazina maana hakuna mtu alizuia wasipangwe so usilete habari za kikosi kufungwa ni kufungwa
Kwani wapi nimesema mchezaji fulani hakucheza?

Mimi nimetoa sababu ya USM ALGIER kushinda ile mechi ilisababishwa na wachezaji bora waliosajiliwa kwenye dirisha liliopita.

Means isingekuwa rahisi kwa USM Algier kupata matokeo dhidi ya Al Ahly kama angecheza na kikosi kile alichocheza na nyie kwenye fainali
 
Sasa tatizo lipo wapi ,kama kila mtu alifanya rotation.

Unaweza ww ukapewa kikosi kile kile alicho cheza nacho USM Alger na husitoboe na uzuri wanakuja mwezi huu.

Huru ni mpira.
 
Simba anajua kucheza group stage, unaweza mfunga taifa still akatoboa
 
Reactions: BRN
Kimpira ndio kundi nzuri ukiweka mkakati wa kupiga yeyote yule kwenye home ground umetobowa, hapa zinahitajika hesabu tu.

Hao Al Ahaly kwa Waarabu wenzao huwa wanakarishwa tu, utashangaa msimamo wa kundi Al Ahaly ukikuta anapigania nafasi ya Pili.
Huyo al ahly mkali akifika kuanzia robo, huku kwenye makundi ni wakawaida maana kuna msimu aliongozwa na mnyama
 
Sasa tatizo lipo wapi ,kama kila mtu alifanya rotation.

Unaweza ww ukapewa kikosi kile kile alicho cheza nacho USM Alger na husitoboe na uzuri wanakuja mwezi huu.

Huru ni mpira.
Hakuna tatizo kuhusu rotation

Nyinyi mnapotaka kujenga hoja kuwa USM Algier ambao mliwasubua ndio hao waliomfunga Al Ahly.

Kitu ambacho sio kweli kwasababu wachezaji waliocheza na nyie kwenye fainali 90% hawakuwepo kwenye mechi ya Super Cup
 
Baada ya kuona groups zilizotoka Leo Kwa kweli nimesikitika sana .....then baadaye nimecheka sana

Tuseme tu Makolo mwendo wameumaliza [emoji23][emoji23] Kwa like kundi hakuna mechi watakayoshinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…