joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Jifunze kumuheshim mpinzani,huyo huyo aikupiga tatu kwa Mkapa.Jwaneng Galaxy huko huko alipo kashajua ametoka.
Ila Yanga kukutana na waarabu wawili mmmhhh
Hao Al Ahly wanawaonea nyinyi siku zote. Na haikushangaza hata pale alipowapiga goli 5 kwa ubuyu! Angalia historia uone kama anapocheza na Yanga mchezo unakuwa ni mwepesi kwake.Umejiona wewe kundi lako?
Yani wakati mnajitafuta kujua wapi mlifeli kwa Ihefu, huko Al Ahly anawalia karanga na mihogo mibichi.
Hawa vibonde wa Ihefu watatoboa?Group D
- AL AHLY
- CR BELOUUIZAD
- YANGA
- MEDEAMA FC
Ndo tutaona nani kidume kati ya Yanga na Simba,wote tunacheza na Al Ahyl,ahaaaaaaaNaitaguta ile Clip ambayo Ally Kamwe alikuwa anaicheka Simba baada ya kuona imepangiwa na Wydad.
Wao walipopangiwa na Rivers United walipiga makofi na vigelegele.
Nataka nijue na leo hali ilikuwa ni hivyo hivyo au leo haijapokelewa kwa furaha?
Kabla ya kusema Al Ahly anatuoneaga sisi ebu weka hapa stats za Al Ahly na Simba tuone nani kafungwa mara nyingi.Hao Al Ahly wanawaonea nyinyi siku zote. Na haikushangaza hata pale alipowapiga goli 5 kwa ubuyu! Angalia historia uone kama anapocheza na Yanga mchezo unakuwa ni mwepesi kwake.
November siyo mbali mbona,tutaonaHawa vibonde wa Ihefu watatoboa?
safi kabisaMajira ya saa 9 alasiri leo kunafanyika draw ya makundi kwa timu zilizofuzu kuingia makundi.
Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi.
Kaa hapa kupata updates zaidi.
Updates
Makundi ya Shirikisho
CAF CL
Group B
- USMA
- FUTURE
- SUPERSPORT
- Al HILAL
Group C
- ZAMALEK
- SaGRADA
- S.O.AR (GUI)
- ABU SALIM
Group D
- RIVERS UNITED
- CLUB AFRICAIN
- DREAMS FC
- APC LOBITO
CAF CHAMPION LEAGUE DRAW
- RS BERKANE
- DIABLES NOIRS (CGO)
- STADE MALIEN
- SEKHUKHUNE UNITED
GROUP A
Group B
- MAMELODY
- PYRAMIDS
- TP MAZEMBE
- FC NOUADHIBOU (MTN)
Group C
- WYDAD
- SIMBA
- ASEC MIMOS
- JWANENG GALAXY
Group D
- E.S.T
- ATLETCO PETROLIAS
- AL HILAL
- EPERENCE TUNIS
- AL AHLY
- CR BELOUUIZAD
- YANGA
- MEDEAMA FC
Ishu siyo kushinda,ishu ni kwenda robo fainaliKabla ya kusema Al Ahly anatuoneaga sisi ebu weka hapa stats za Al Ahly na Simba tuone nani kafungwa mara nyingi.
We unaongeaga tu lakini data huna, uliwahi kusema Wydad alitufunha goli 3.
Hauko makini na taarifa zako, unaandika tu ilimradi.
We ni umbwa tayariPoleni sana ndugu zangu Yanga,mkitoboa hilo kundi niiteni Umbwaaa
Sawa bloangu,🤣🤣🤣🤣🤣We ni umbwa tayari
Mkuu nipe profile ya BelouizdadKisasi ni Haki ..
Mwaka jana Yanga tulilipa kisasi kwa To mazembe, Rivers na Us Alger japo alibeba kombe Kwa away goal Advantage....
Bado kuna timu zinatakiwa kupewa haki Yao moja wapo ni Madeama... Nashukuru Mungu kajileta....
Oi msije sema tulipangiwa vibonde sisi kazi yetu ni kulipa kisasi Tu...
[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]