Tunashukuru sana kwa kukiri kuwa kundi la Yanga ni gumu, sasa Yanga ikifuzu msije na lugha nyingine
Nashukuru wote wamekili kuwa kundi letu ni gumu siyo tuanze kushinda waanze oooh kibonde
 
Kumekucha
 
Mkuu nipe profile ya Belouizdad
Belouizdad ni timu ya Algeria... Hua inafanya vizuri kwenye michuano ya CAF japo sina kumbukumbu kama ishawahi kuchukua kombe...
Mbabe wao ni Us Alger Yule tuliyempiga kwao Fainali... Kwa sasa yupo nafasi ya Chini kwenye ligi Yao kifupi msimu huu hayuko Moto kama last season ambapo alikua bingwa... tukijichanga vizuri tuna point 4+ kwake...
 
Utaenda Robo fainali bila kushinda?

Hii sio mtoano kusema utavuka kwa faida ya goli la ugenini hii ni level ya kukusanya points
November siyo mbali,uzuri wote tunacheza na Al Ahyl tuanzie hapo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…