CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D
Kila nikikumbuka Simba anapigwa na Raja alafu utopolo anakuja kumfunga kibonde anayeshuka daraja alafu kelele kibao eti tumeiheshimisha nchi .. pumbavu zenu ngojeni mtiwe adabu kwanza
Aahaaaaaa
Screenshot_20231006-165731~2.png
 
Tuache utani usiokuwa na faida, Simba na Yanga wakiwa na kauli mbiu ya kila mtu ashinde mechi zake wote wanaingia robo fainali.

Kanuni ya group stage usikubali kufungwa Nyumbani, make sure hata awe nani anaacha point zote 3 maana yake unabeba point 9, mechi za nje hata ukipata drop moja unakwenda robo fainali, hii hesabu Al Ahaly ndio wanaiishi, ndio sababu huwakosi kwenye robo fainali.
Ndo mna nimesema simba na yanga wskikomaa wote wataenda robo fainali.
 
Naiona Robo Fainali kwa timu zetu zote mbili.
Kwa mara ya kwanza tunapeleka timu mbili Robo Fainali. Ingawa nina wasiwasi sana na kundi alilopo Simba
Ningeomba Mungu kwa ajili ya hili, sema tumezidi sana uovu...isomeke tu kuwa ikimpendeza basi na iwe nitakavyo.
Acha kujipa hope.

Hapo timu ni moja tu
 
Tuache utani usiokuwa na faida, Simba na Yanga wakiwa na kauli mbiu ya kila mtu ashinde mechi zake wote wanaingia robo fainali.

Kanuni ya group stage usikubali kufungwa Nyumbani, make sure hata awe nani anaacha point zote 3 maana yake unabeba point 9, mechi za nje hata ukipata drop moja unakwenda robo fainali, hii hesabu Al Ahaly ndio wanaiishi, ndio sababu huwakosi kwenye robo fainali.
Wewe umeongea kimashindano, sio mihemuko.
 
Back
Top Bottom