CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D
Usma huku mfunga hapa tz alafu hapa naongea group stage
Mbn alikula chuma huko huko Algeria
Screenshot_20231006-170315~2.jpg
 
Nasikia CR belouizdad wameshaanza kuagiza karanga na asali mbichi kutokea Tanzania
 
Majira ya saa 9 alasiri leo kunafanyika draw ya makundi kwa timu zilizofuzu kuingia makundi.

Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi.

Kaa hapa kupata updates zaidi.

Updates

Makundi ya Shirikisho

CAF CL
  1. USMA
  2. FUTURE
  3. SUPERSPORT
  4. Al HILAL
Group B
  1. ZAMALEK
  2. SaGRADA
  3. S.O.AR (GUI)
  4. ABU SALIM
Group C
  1. RIVERS UNITED
  2. CLUB AFRICAIN
  3. DREAMS FC
  4. APC LOBITO
Group D
  1. RS BERKANE
  2. DIABLES NOIRS (CGO)
  3. STADE MALIEN
  4. SEKHUKHUNE UNITED
CAF CHAMPION LEAGUE DRAW

GROUP A
  1. MAMELODY
  2. PYRAMIDS
  3. TP MAZEMBE
  4. FC NOUADHIBOU (MTN)
Group B
  1. WYDAD
  2. SIMBA
  3. ASEC MIMOS
  4. JWANENG GALAXY
Group C
  1. E.S.T
  2. ATLETCO PETROLIAS
  3. AL HILAL
  4. EPERENCE TUNIS
Group D
  1. AL AHLY
  2. CR BELOUUIZAD
  3. YANGA
  4. MEDEAMA FC
Simba atafuzu hatua ya robo fainali mengine watasema wengine
 
Tena simba ss naona ndo tuna kazi kubwa sbb timu zote zinatujua na tunawajua. Kuvuka robo sio rahis km watu wengi wanavyodhania
Imedebweda hawana mpira wa kasi na nguvu km miaka 2 iliyopita imepoa flani wanajiamini kupitiliza hilo ndio linawagharimu, yanga ina njaa na kiu wanapambana kuweka historia na heshima ya klabu na nchi pia.......

Imeridhika na robo ushiriki wa miaka kadhaa mfululizo

Simba inakera sometimes
 
Elewa kwamba mechi za makundi hazichezwi kama zile za mtoano.
Kumbuka ile mechi ya mtoano ilikuwa ya kuamua nani aende nani abaki,wewe ukaaungukia shirikisho mwenzako akaenda makundi.

Kwenye makundi kuna kujiuliza na tunaangalia point na kuna nafasi ya kujirekebisha, ila mtoano hamna kujiuliza.
 
W
Huko mbeleni usije ukageuka kuwa yanga anapangwa na timu mbovu
we jamaa😂😂😂😂
Unahisi ataongea yeye we mwenyewe utakuja kulia humu

Naomba nikukumbushe kuna msimu tulimaliza juu ya bingwa mtetezi hiyo ni rekodi ndogo 😁😁
 
Acha kujipa hope.

Hapo timu ni moja tu
Mkuu, sijipi hope😀,
Kwenye hili pamoja na kusimama na timu yangu ya Yanga, lakini kamwe siwaombei Simba baya lolote lile.
Natamani nikija kuwa kiongozi katika nchi hii basi nikutane na changamoto mpya. Natamani waliopo wafanikishe mengi katika wakati wao ili mimi na wenzangu tutakapokuja basi angalau kama nchi kimichezo tuwe tumeshazoeleka kwenye majukwaa ya kimataifa.
Angalau mimi na wenzangu tutakapoingia, basi tuanze kuhangaika na uanzishwaji na usambazaji wa vituo vya mifumo ya kuchajisha umeme kwenye magari ya umeme, nitafurahi tukiivuka gas kabla hatujaitumia vyema kwenye magari na tuiache kwa ajili ya viwandani tu.
Ndiyo maana katika hili nawatakia Simba kila lenye heri, tuna uzalendo sana na hii nchi, ni vile tu hatupo kwenye mifumo yao hii ya kishenzi na kibadhirifu ingawa popote pale tulipo, hata umalaya tunaofanya si kwa sababu ya nyege bali kwa maslahi ya taifa, kwa uzalendo wetu kwa nchi.
 
Back
Top Bottom