CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D
yanga ipo kundi gumu lakini itawashangaza sababu kuanzia sasa wanajua wako kwenye kundi gumu hivyo itawafanya wasidharau timu wala nafasi yoyote watakayopata
 
Jifunze kumuheshim mpinzani,huyo huyo aikupiga tatu kwa Mkapa.

Nishashinda kweny ardhi ya Waarabu mara mbili, ikiwemo USM Algers ambaye alimpiga Al Ahly kwenye mechi ya bingwa wa shirikiso na championship.

Tusiongee sana tukutane uwanjani.
😂😂😂😂😂 wewee
Wewe hizi hesabu unapiga huku ulimfunga USMA ihefu akakubatiza
Kwahyo ihefu bora kuliko wewe?
Na
 
Huyo uliyeshindwa kuchukua kombe mikononi mwake ndio huyu huku chini alikuwa anakaribia kushuka daraja.

View attachment 2773663

Sasa mnakutana na huyu hapa

View attachment 2773665
Kwaio?
Screenshot_20231006-171302~2.jpg
 
Back
Top Bottom