Pot za shirikisho ?
 
Mkuu mbona umeandika kama umeona wivu flani hivi 🤣🤣🤣
We are enough to be called GIANT.
Sio wivu...giant must have won something. Hivo ndio navoitazama mimi.
 
Trust me.
Its Our time.
Lets hope so...ndugu yako always muombee mema maana utanufaika tuu.
Hizi timu zikifanya vizuri maana yake wale waliokiwa katika football industry wanapata. Mama ntilie wanapata, sie bodaboda tunapata.
 
Lets hope so...ndugu yako always muombee mema maana utanufaika tuu.
Hizi timu zikifanya vizuri maana yake wale waliokiwa katika football industry wanapata. Mama ntilie wanapata, sie bodaboda tunapata.
professional kabisa
 
Walioko champions league wanamshukuru Mungu Simba hayuko Champions league maana Simba ni moto na walioko Shirikisho wamemwachia Mungu maana Simba ni muuaji balaa....
Unaona mbali sana wewe
 
Local Time ya Cairo ni sawa na EAT. Draw itaanza kwa Losers Cup 10.00 hr GMT ( 13.00 hr EAT) ikifuatiwa na Wakubwa Cup 11.00 hr GMT (14.00 hr EAT).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…