Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Kabisa...Mungu ibariki Yanga, Yanga ikishinda Tanzania inashinda.
Yanga ndio timu ya Taifa hivi sasa, Taifa linaponywa na Yanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa...Mungu ibariki Yanga, Yanga ikishinda Tanzania inashinda.
Yanga ndio timu ya Taifa hivi sasa, Taifa linaponywa na Yanga.
Pot za shirikisho ?View attachment 3117207
Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) litachezesha droo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa na Shirikisho ya TotalEnergies CAF 2024/25.
Unaweza kufuatilia droo moja kwa moja Leo Jumatatu, tarehe 7 Oktoba 2024, kutoka huko Cairo, Misri: Kupitia Hapa JF
Droo itaanza na droo ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la TotalEnergies CAF saa Saba Mchana saa za Afrika Mashariki, ikifuatiwa na droo ya Ligi ya Mabingwa ya TotalEnergies CAF saa Nane saa za Africa Mashariki
Vilabu Vilivyofuzu kwa Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa ya TotalEnergies CAF:
1. Al Ahly SC (Misri)
2. Al Hilal SC (Sudani)
3. AS FAR (Morocco)
4. AS Maniema Union (DR Congo),
5. CR Belouizdad (Algeria)
6. Djoliba AC De Bamako (Mali)
7. GD Sagrada Esperanca (Angola)
8. Espérance Sportive de Tunis (Tunisia)
9. Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini)
10. MC Alger (Algeria)
11. Pyramids FC(Misri)
12. Orlando Pirates (Afrika Kusini)
13. Raja Casablanca (Morocco)
14. Stade d’Abidjan (Cote d’Ivoire)
15. TP Mazembe (DR Congo)
16. Young Africans SC (Tanzania).
Mfumo wa Droo ya Hatua ya Makundi
Timu zitagawanywa katika vikundi vinne kulingana na viwango vyao vya CAF.
Kikundi cha 4 kitakuwa na timu zenye kiwango cha chini zaidi, ikijumuisha:
- MC Alger (Algeria)
- AS Maniema Union (DR Congo)
- Djoliba de Bamako (Mali)
- Stade d’Abidjan (Cote d’Ivoire)
Droo ya kikundi hiki itazipanga timu katika moja ya makundi kama ifuatavyo:
- Mpira wa kwanza utakaochaguliwa utaenda moja kwa moja kwenye Kundi A katika nafasi ya A4.
- Mpira wa pili utaenda Kundi B katika nafasi ya B4.
- Mpira wa tatu utaenda Kundi C katika nafasi ya C4.
- Mpira wa nne utaenda Kundi D katika nafasi ya D4.
Kikundi cha 3. kinajumuisha:
- Al Hilal (Sudani)
- Orlando Pirates (Afrika Kusini)
- GD Sagrada Esperança (Angola)
- AS FAR (Morocco)
Upangaji wa timu kutoka Kikundi cha 3 utafanyika kwa namna sawa:
- Mpira wa kwanza utakaochaguliwa utaenda Kundi A katika nafasi ya A3.
- Mpira wa pili utaenda Kundi B katika nafasi ya B3.
- Mpira wa tatu utaenda Kundi C katika nafasi ya C3.
- Mpira wa nne utaenda Kundi D katika nafasi ya D3.
Kikundi cha 2. kinajumuisha:
- CRB (Algeria)
- Raja CA (Morocco)
- Young Africans (Tanzania)
- Pyramids FC (Misri)
Utaratibu wa droo kwa Kikundi cha 2 utafuata mfumo ule ule:
- Mpira wa kwanza utakaochaguliwa utaenda Kundi A katika nafasi ya A2.
- Mpira wa pili utaenda Kundi B katika nafasi ya B2.
- Mpira wa tatu utaenda Kundi C katika nafasi ya C2.
- Mpira wa nne utaenda Kundi D katika nafasi ya D2.
Kikundi cha 1, kinachojumuisha timu zenye viwango vya juu, ni:
- Al Ahly SC (Misri)
- Espérance Sportive de Tunis (Tunisia)
- Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini)
- TP Mazembe (DR Congo)
Droo ya mwisho kwa Kikundi cha 1 itazipanga timu kama ifuatavyo:
- Mpira wa kwanza utakaochaguliwa utaenda Kundi A katika nafasi ya A1.
- Mpira wa pili utaenda Kundi B katika nafasi ya B1.
- Mpira wa tatu utaenda Kundi C katika nafasi ya C1.
- Mpira wa nne utaenda Kundi D katika nafasi ya D1.
UTARATIBU WA SHIRIKISHO UTAKUWA HIVYO HIVYO KAMA KB.
Vilabu vilivyofuzu kwa Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho la CAF la TotalEnergies:
1. USM Alger (Algeria)
2. CS Constantine (Algeria)
3. Bravos do Maquis (Angola)
4. CD Lunda Sul (Angola)
5. Orapa United (Botswana)
6. ASEC Mimosas (Ivory Coast)
7. Al Masry (Misri)
8. Zamalek (Misri)
9. Stade Malien (Mali)
10. RS Berkane (Morocco)
11. Black Bulls (Msumbiji)
12. Enyimba (Nigeria)
13. Jaraaf (Senegal)
14. Stellenbosch (Afrika Kusini)
15. Simba (Tanzania)
16. CS Sfaxien (Tunisia).
Tukutane Mida ya Alaasiri...
Vijana wa Mangungu mna maneno kama mwenyekiti wenu.Shirikisho Afrika na NBC.....
Utaki kufaaaaa
Sio wivu...giant must have won something. Hivo ndio navoitazama mimi.Mkuu mbona umeandika kama umeona wivu flani hivi 🤣🤣🤣
We are enough to be called GIANT.
Lets hope so...ndugu yako always muombee mema maana utanufaika tuu.Trust me.
Its Our time.
professional kabisaLets hope so...ndugu yako always muombee mema maana utanufaika tuu.
Hizi timu zikifanya vizuri maana yake wale waliokiwa katika football industry wanapata. Mama ntilie wanapata, sie bodaboda tunapata.
Pot za shirikisho ?
Unaona mbali sana weweWalioko champions league wanamshukuru Mungu Simba hayuko Champions league maana Simba ni moto na walioko Shirikisho wamemwachia Mungu maana Simba ni muuaji balaa....
Local Time ya Cairo ni sawa na EAT. Draw itaanza kwa Losers Cup 10.00 hr GMT ( 13.00 hr EAT) ikifuatiwa na Wakubwa Cup 11.00 hr GMT (14.00 hr EAT).View attachment 3117061
View attachment 3117057
View attachment 3117065
View attachment 3117058
The draw will commence with the TotalEnergies CAF Confederation Cup Group Stage Draw at 15h00 East African Time (EAT), followed by the TotalEnergies CAF Champions League Draw at 16h00 EAT.
x.com
x.com
You can join Space
Sijui hata kama unajua makundi yanapangwaje. Akili zenu za kimbumbumbu tu.Ubuntu BOTHO
Raja Casablanca
Utopolo
Pyramid
Team ngumu kwa UtoMungu saidia tupangiwe teams ngumu ili tupate changamoto sahihi kabla ya robo fainali.
Vipi tukipewa Al masry Enyimba na st ConstantineTeam ngumu kwa Uto
Sisi Simba hatuna timu ngumu kwa sasa
Tunajipigia tuVipi tukipewa Al masry Enyimba na st Constantine
Ili iweje?Kombe la shirikisho wangeliacha