Yeye anajifnaya mwizi kabisa ama siyo?Lakini huyu hajifanyi mzalendo kama dhalimu alivyokuwa anajifanya.
My wife usiwe mpumbavu ntakupa taraka sasa hivi!Miradi yote ya Jiwe ndiyo leo inaongoza kwa ufisadi lkn mama tulisha mwambia kuwa afukuze hilo kundi haraka sana
Siyo sawa kumuandama jaji biswalo Kiasi hikiAsante sana CAG kwa angalau kazi ya kuwataja mafisadi papa katika nchi hii.
CAG kwa uchunguzi huu Mungu atakulinda maana huna baya bali wabaya watakuandama.
Kwanini kila ufisadi unaibuliwa kupitia kwa kundi lililokuwa chini ya Jiwe?
Ebu tujiulizeni jamani inakuwaje?
Alafu kuna watu wanakwambia eti alikuwa ni mtetezi wa wanyonge!
View attachment 2580473
Kwa hiyo kutojifanya mzalendo ndio aruhusu upigaji? Alafu JPM alikuwa hajjfanyi ni mzalendo kweli kweli. Miaka 5 tu amaefanya makubwa kama Thomas SankaraLakini huyu hajifanyi mzalendo kama dhalimu alivyokuwa anajifanya.
Ambaye hajawahi kuiba na awe wa kwanza kumnyooshea jiwe kidole.Ukimtetea mwizi basi nawe utakuwa mwizi tu
Pumbav sana! kwahiyo yeye alivyofunga aloyaita majizi alijiona yeye nijizi lenyehaki zakuiba? au jizi la majizi?Ambaye hajawahi kuiba na awe wa kwanza kumnyooshea jiwe kidole.
Tuliandika humu kabla hata CAG hajatia neno , tukaambiwa tuna wivuAsante sana CAG kwa angalau kazi ya kuwataja mafisadi papa katika nchi hii.
CAG kwa uchunguzi huu Mungu atakulinda maana huna baya bali wabaya watakuandama.
Kwanini kila ufisadi unaibuliwa kupitia kwa kundi lililokuwa chini ya Jiwe?
Ebu tujiulizeni jamani inakuwaje?
Alafu kuna watu wanakwambia eti alikuwa ni mtetezi wa wanyonge!
View attachment 2580473
Hua jambazi akiona mwenzie anamzidi mara nyingi anamua ili abaki mwenyewe.Marehemu alikuwa mwizi wa kutisha Ila wajinga wengi hawawezi kuliona hili
Watu mnajua siri jamaniHua jambazi akiona mwenzie anamzidi mara nyingi anamua ili abaki mwenyewe.
Ndicho alichofanya jiwe.
Yule hakua mwiz alipokuwa tu rais bali tangu ateuliwe kuwa waziri immediately alianza wizi.Sifa pekee ni kusimamia vizuri kazi ili asionekane mwizi.
Mapendekezo ya kuuza nyumba paper aliandika yeye, akajogawia nyumba hadi na vimada wakapewa akasingiziwa Manongi kumbe KABUTA
Samia alisema kweli, wasiwasi wetu ni kuwa, yeye anaambiwa, na yeye anakuja kutuambia na kulalamika kwetu.NB: nakumbuka samia alisema kuna pesa ziko kwenye account za benki za china au ushasahau?
Kuna watu walikuwa wanamuona Jiwe kama mtakatifu... Kumbe nchi ilikuwa inafuga Jambazi ndani ya IkuluPumbav sana! kwahiyo yeye alivyofunga aloyaita majizi alijiona yeye nijizi lenyehaki zakuiba? au jizi la majizi?
Mijitu kamaninyi mnaharibu ustawi wa taifa