CAG amaliza kazi kwa aliyekuwa DPP Biswalo Mganga, ataka achunguzwe

CAG amaliza kazi kwa aliyekuwa DPP Biswalo Mganga, ataka achunguzwe

Lakini huyu hajifanyi mzalendo kama dhalimu alivyokuwa anajifanya.
Yeye anajifnaya mwizi kabisa ama siyo?

Na nyie mmekaa tu kimya hata kuonesha mfano wa Odinga hapo Kenya tu hamna?

Trump alikuwa sahihi
 
Miradi yote ya Jiwe ndiyo leo inaongoza kwa ufisadi lkn mama tulisha mwambia kuwa afukuze hilo kundi haraka sana
My wife usiwe mpumbavu ntakupa taraka sasa hivi!

Kwamba inayofisadi ni miradi au watu waliowekwa kusimamia hiyo miradi ndio mafisadi?
 
Asante sana CAG kwa angalau kazi ya kuwataja mafisadi papa katika nchi hii.

CAG kwa uchunguzi huu Mungu atakulinda maana huna baya bali wabaya watakuandama.

Kwanini kila ufisadi unaibuliwa kupitia kwa kundi lililokuwa chini ya Jiwe?

Ebu tujiulizeni jamani inakuwaje?
Alafu kuna watu wanakwambia eti alikuwa ni mtetezi wa wanyonge!

View attachment 2580473
Siyo sawa kumuandama jaji biswalo Kiasi hiki

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Lakini huyu hajifanyi mzalendo kama dhalimu alivyokuwa anajifanya.
Kwa hiyo kutojifanya mzalendo ndio aruhusu upigaji? Alafu JPM alikuwa hajjfanyi ni mzalendo kweli kweli. Miaka 5 tu amaefanya makubwa kama Thomas Sankara
 
Kwa hiyo kutojifanya mzalendo ndio aruhusu upigaji? Alafu JPM alikuwa hajjfanyi ni mzalendo kweli kweli. Miaka 5 tu amaefanya makubwa kama Thomas Sankara
Jiwe alichokifanya ni kufuga majizi
 
Hata kama tutaliona mbona wizi unaendelea kwa huyu mzuri wenu. Tena wizi wa kutisha?
Projects zote zilizotajwa na CAG ni zile zilizoanzishwa na Jiwe na kuwaweka watu wake.
 
Aibu sana kuwa na Gangstars lkulu!!!
Yanakamata watu,yanawafunga,yanawatisha yapewe hela kisha yanawaachia,pesa yanajiamulia yazifanyie nini!!!
Alafu aliaminisha watu eti ananyoosha kwanza nchi na kujenga maadili, eti msemakweli nimpenzi wa 'mungu'.
Mh. Rais piga chini vigogo wooote tics hawakuwa na uchungu kwa taifa wala unyoofu wa maadili.

TZ INGEKUWA NA WATU WEREVU WAKUTOSHA TUNGEPIGANIA KATIBA MPYA HARAKA NA KWALUGHA MOJA!!! LAKINI NDOHIVYO TENA....mapumbafu yamejazana na yanamdomo mmno. Efuyuusiikei!!
 
Ambaye hajawahi kuiba na awe wa kwanza kumnyooshea jiwe kidole.
Pumbav sana! kwahiyo yeye alivyofunga aloyaita majizi alijiona yeye nijizi lenyehaki zakuiba? au jizi la majizi?
Mijitu kamaninyi mnaharibu ustawi wa taifa
 
Asante sana CAG kwa angalau kazi ya kuwataja mafisadi papa katika nchi hii.

CAG kwa uchunguzi huu Mungu atakulinda maana huna baya bali wabaya watakuandama.

Kwanini kila ufisadi unaibuliwa kupitia kwa kundi lililokuwa chini ya Jiwe?

Ebu tujiulizeni jamani inakuwaje?
Alafu kuna watu wanakwambia eti alikuwa ni mtetezi wa wanyonge!

View attachment 2580473
Tuliandika humu kabla hata CAG hajatia neno , tukaambiwa tuna wivu
 
Marehemu alikuwa mwizi wa kutisha Ila wajinga wengi hawawezi kuliona hili
Hua jambazi akiona mwenzie anamzidi mara nyingi anamua ili abaki mwenyewe.
Ndicho alichofanya jiwe.
Yule hakua mwiz alipokuwa tu rais bali tangu ateuliwe kuwa waziri immediately alianza wizi.Sifa pekee ni kusimamia vizuri kazi ili asionekane mwizi.
Mapendekezo ya kuuza nyumba paper aliandika yeye, akajogawia nyumba hadi na vimada wakapewa akasingiziwa Manongi kumbe KABUTA
 
Watu mnajua siri jamani
 
NB: nakumbuka samia alisema kuna pesa ziko kwenye account za benki za china au ushasahau?
Samia alisema kweli, wasiwasi wetu ni kuwa, yeye anaambiwa, na yeye anakuja kutuambia na kulalamika kwetu.

  • Mbona hazijatokea kwenye ripoti ya CAG?
  • Hakupaswa kulifuatilia mpaka mwisho?
  • Nani ana mamlaka ya kumuwajibisha aliyezipeleka?
  • Mwenye hiyo akaunti hajulikani?

Ni kweli, wengi wa waliokuwa ndani kwa kesi za uhujumu kipindi cha jiwe, huku mtaani ndugu zao wakisema, DPP amedhulumu mali zao nyingi na hapo, ili upate hiyo nafasi ya kudhulumiwa(kumuona), lazima utoe sh 10m.

Ni nani alimteua kuwa jaji mtu wa aina hii? Kuwa DPP ilikuwa ni kosa la kwanza, kuwa jaji je?
 
Pumbav sana! kwahiyo yeye alivyofunga aloyaita majizi alijiona yeye nijizi lenyehaki zakuiba? au jizi la majizi?
Mijitu kamaninyi mnaharibu ustawi wa taifa
Kuna watu walikuwa wanamuona Jiwe kama mtakatifu... Kumbe nchi ilikuwa inafuga Jambazi ndani ya Ikulu
 
Back
Top Bottom