CAG aongea na waandishi wa habari - Aprili 8, 2021

CAG aongea na waandishi wa habari - Aprili 8, 2021

Wangekuwa wanawajibishwa ingesaidia, badala yake tutaishia kuwacheka tu huku mitandaoni maisha yanaendelea, next year tena CAG atakuja na ripoti ya wizi mwingine, tutashangaa tena then maisha yataendelea, yaani tumegeuzwa mazuzu sana na CCM.
Shida ni bunge sio raia...... Kama wangeweka maazimio ya kuwaburuza mahakama ya mafisadi haya yote yasingetokea.

Shida CCM wamejaa bungeni watalindana tu. As CAG said bunge ni dhaifu
 
Hivi huu wizi ambao haujawahi kutokea umetokea awamu hii hii ya 5 chini ya mtukufu yule asiyeshindwa, mzee wa kujisifu kwamba angewatapisha watu ambao wangekula hela zetu?

ATCL loss ya BILLION 160 chini ya miaka minne.

Long live prof. Assad. Mzee alikuwa bold enough kumwambia mfalme “hili ni koleo na sio kijiko kikubwa”. Hongera pia mama Samia kwa kumpa confidence CAG wa sasa na kumwambia awe free kusema lolote. Kweli wewe huwa unakwenda Masjid kwa kukusudia

Ngoja tuone nini Samia atafanya sasa.
 
Halafu ni audit ya kipindi tulichoambiwa ufisadi umedhibitiwa
Mkuu ni kwamba walipokuwa wakikamatwa hawakuwa wakitajwa, lakini watu wameendelea kupiga mpunga kama kawaida...

Usichezee kabisa watu wanaitwa waafrika linapokuja suala la kula rushwa...
 
Kigwangala huu ndiyo muafaka wa kutwiti sasa, CAG anakuchafua kijana mchapakazi, mzalendo, Waziri mstaafu.

Everyday is Saturday............................... 😎
Lile jamaa linavyopenda masifa ya kuandika andika na kuonekana safi, lazima litajibu tu
 
Back
Top Bottom