Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Uwe unaweka akiba ya maneno.. Ona sasa unafedheheka... unapenda kweli kuwahi kuleta habari but with no details or very shallow. Usiwe unakimbilia ku-post; unaziba nafasi ya mwenye nia ya kutuletea habari kwa ukamilifu! Hata hizo UPDATES zako zitakuwa very shallow I guess!