Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha mbona baba alionesha uozo wa wengine. Hii inaitwa jamuhuri ya muungano ya Tanzaniamama ameamua kutuonesha uozo wa baba
Kazi Kweli kweliCAG Kicheere anaongea na waandishi wa habari muda huu.
Updates;
========
CAG: NILIBAINI WAKALA NNE ZA SERIKALI ZILIKUWA ZINADAIWA BILIONI 783.39
TANROADS ilikuwa na deni kubwa lenye thamani ya bilioni 770.1 kutoka kwa wakandarasi na wahandisi washauri kutokana na kuchelewa kupata fedha za kutekeleza miradi kutoka hazina, wakala wa majengo bilioni 1, RUWASA bilioni 12 na TARURA milioni 125
-Ni madeni ya wakandarasi, watoa huduma na washauri katika hizo taasisi nne
CAG: MIRADI INAYOTEKELEZWA INA TOZO YA RIBA YA BILIONI 14.9
Mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali(CAG) amesema miradi mbalimbali inayotekelezwa nchini ina riba ya bilioni 14.9 kama adhabu ya kuchelewesha kulipa hati za madai ya wakandarasi kinyume na masharti ya mikataba
-CAG amesema malipo hayo hayana tija kwani yangeweza kuepukika kwani baadhi ya pesa ni za wafadhili ambazo zipo lakini mlolongo mrefu wa malipo kwa serikali unakwamisha
MALIASILI NA UTALII
CAG: Nilifanya ukaguzi maalum wizara ya maliasili na utalii, nilibaini bilioni 6.8 zililipwa kutoka kwenye mfuko wa tozo ya maendeleo ya utalii bila idhini ya afisa masuuli kinyume na kanuni ya fedha. Pamoja na haya nilibaini matumizi ya jumla ya bilioni 16 yalifanyika bila kuwa na hati za malipo pia yalibainika matumizi ya bilioni 11 ambayo hayakuwa na nyaraka toshelezi na milioni 89 zilizotumiwa na makumbusho ya Taifa kwa matumizi yasiyoendana na shughuli za utalii.
Kwa maoni yangu mkurugenzi wa utalii na mhasibu waliokuwa wanahusika walitumia vibaya fedha za tozo ya utalii jumla ya Tshs Bilioni 34
CAG: BODI YA WAKURUGENZI YA ATCL HAINA MJUMBE MWENYE UZOEFU NA MASUALA YA ANGA
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali amesema hayo na pia kuongeza kuwa Shirika linadaiwa hivyo inakuwa changamoto kuruka kwenye baadhi ya maeneo
Pia Viwanja vya Ndege vimetajwa kuwa na changamoto
Kingwa na wenzake zamani walikuwa na kampuni wanashugulika na kununua pamba?Dr Kigwangalla anajifanya kuuza maziwa kunduchi kumbe nyuma ya pazia ananukia nukia ufisadini!
Bila shaka yule Dr wetu aliyekua waziri kwenye utalii anahusika vilivyo kwenye hayoCAG Kicheere anaongea na waandishi wa habari muda huu.
Updates;
========
CAG: NILIBAINI WAKALA NNE ZA SERIKALI ZILIKUWA ZINADAIWA BILIONI 783.39
TANROADS ilikuwa na deni kubwa lenye thamani ya bilioni 770.1 kutoka kwa wakandarasi na wahandisi washauri kutokana na kuchelewa kupata fedha za kutekeleza miradi kutoka hazina, wakala wa majengo bilioni 1, RUWASA bilioni 12 na TARURA milioni 125
-Ni madeni ya wakandarasi, watoa huduma na washauri katika hizo taasisi nne
CAG: MIRADI INAYOTEKELEZWA INA TOZO YA RIBA YA BILIONI 14.9
Mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali(CAG) amesema miradi mbalimbali inayotekelezwa nchini ina riba ya bilioni 14.9 kama adhabu ya kuchelewesha kulipa hati za madai ya wakandarasi kinyume na masharti ya mikataba
-CAG amesema malipo hayo hayana tija kwani yangeweza kuepukika kwani baadhi ya pesa ni za wafadhili ambazo zipo lakini mlolongo mrefu wa malipo kwa serikali unakwamisha
MALIASILI NA UTALII
CAG: Nilifanya ukaguzi maalum wizara ya maliasili na utalii, nilibaini bilioni 6.8 zililipwa kutoka kwenye mfuko wa tozo ya maendeleo ya utalii bila idhini ya afisa masuuli kinyume na kanuni ya fedha. Pamoja na haya nilibaini matumizi ya jumla ya bilioni 16 yalifanyika bila kuwa na hati za malipo pia yalibainika matumizi ya bilioni 11 ambayo hayakuwa na nyaraka toshelezi na milioni 89 zilizotumiwa na makumbusho ya Taifa kwa matumizi yasiyoendana na shughuli za utalii.
Kwa maoni yangu mkurugenzi wa utalii na mhasibu waliokuwa wanahusika walitumia vibaya fedha za tozo ya utalii jumla ya Tshs Bilioni 34
CAG: BODI YA WAKURUGENZI YA ATCL HAINA MJUMBE MWENYE UZOEFU NA MASUALA YA ANGA
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali amesema hayo na pia kuongeza kuwa Shirika linadaiwa hivyo inakuwa changamoto kuruka kwenye baadhi ya maeneo
Pia Viwanja vya Ndege vimetajwa kuwa na changamoto
Ipo Mkuu, yaani ni full utata.
Utabadilisha sana id lakini kitu cha " mdigo" kitakuning'inia milele huko ikweta.
Sawasawa all rounder!
Mkuu kuna vitu huwezi kuficha..vinakutambulisha..moja ni hilo la kujibu kwa hovyo..ulianza kwa jina la dawa,ukaja sijui mzunguko na sasa hili.
Sasa nimeelewa kwanini hakutaka vyombo vya habari vifunguliwe.
Kumbe Dr Abbas anahusika kwenye huu uratibu wa matumizi yasiyo na utaratibu.
Everyday is Saturday............................... 😎
"Chadema" wametuharibia sana hii nchi.CAG Kicheere anaongea na waandishi wa habari muda huu.
Updates;
========
CAG: NILIBAINI WAKALA NNE ZA SERIKALI ZILIKUWA ZINADAIWA BILIONI 783.39
TANROADS ilikuwa na deni kubwa lenye thamani ya bilioni 770.1 kutoka kwa wakandarasi na wahandisi washauri kutokana na kuchelewa kupata fedha za kutekeleza miradi kutoka hazina, wakala wa majengo bilioni 1, RUWASA bilioni 12 na TARURA milioni 125
-Ni madeni ya wakandarasi, watoa huduma na washauri katika hizo taasisi nne
CAG: MIRADI INAYOTEKELEZWA INA TOZO YA RIBA YA BILIONI 14.9
Mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali(CAG) amesema miradi mbalimbali inayotekelezwa nchini ina riba ya bilioni 14.9 kama adhabu ya kuchelewesha kulipa hati za madai ya wakandarasi kinyume na masharti ya mikataba
-CAG amesema malipo hayo hayana tija kwani yangeweza kuepukika kwani baadhi ya pesa ni za wafadhili ambazo zipo lakini mlolongo mrefu wa malipo kwa serikali unakwamisha
MALIASILI NA UTALII
CAG: Nilifanya ukaguzi maalum wizara ya maliasili na utalii, nilibaini bilioni 6.8 zililipwa kutoka kwenye mfuko wa tozo ya maendeleo ya utalii bila idhini ya afisa masuuli kinyume na kanuni ya fedha. Pamoja na haya nilibaini matumizi ya jumla ya bilioni 16 yalifanyika bila kuwa na hati za malipo pia yalibainika matumizi ya bilioni 11 ambayo hayakuwa na nyaraka toshelezi na milioni 89 zilizotumiwa na makumbusho ya Taifa kwa matumizi yasiyoendana na shughuli za utalii.
Kwa maoni yangu mkurugenzi wa utalii na mhasibu waliokuwa wanahusika walitumia vibaya fedha za tozo ya utalii jumla ya Tshs Bilioni 34
CAG: BODI YA WAKURUGENZI YA ATCL HAINA MJUMBE MWENYE UZOEFU NA MASUALA YA ANGA
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali amesema hayo na pia kuongeza kuwa Shirika linadaiwa hivyo inakuwa changamoto kuruka kwenye baadhi ya maeneo
Pia Viwanja vya Ndege vimetajwa kuwa na changamoto
Koma mi sijawahi hata kuangalia uchafu wenu wa CloudsClouds FM rudisheni pesa za wanyonge, kumbe mnashirikiana na mafisadi kutapeli pesa za wanyonge...
Dada angu yule hayati ndo katufikisha hapa, Tuzidishe maombi tu Mwenyezi Mungu azidi kutuepusha na haya madudu zaidi na zaidi..Kiufupi nimesikitika sana wezi na ubadhirifu wa fedha kila mahali. Mara matumizi mabaya, hundi ziko wazi, kinyume na mkataba au hamna mkataba, mara nyaraka hamna hadi nyingine nje ya bajeti.
Tuna safari ndefu ila sijui tunaekea wapi.
Zingine watakuwa wamekula waungamkono juhudi....maana Kuna Kipindi biashara ilishamiri kweli kweli....kwa madudu haya....ili kujilinda angebadili Katiba ili aendeleee kuficha uovu....ndio maana aliaanza na bunge la kijani tupu.
Na zile show za fiesta huwezi kuniambia wasanii kama kina diamond walikuwa wanapiga show mshahara ubwabwa na soda.Zingine watakuwa wamekula waungamkono juhudi....maana Kuna Kipindi biashara ilishamiri kweli kweli....kwa madudu haya....ili kujilinda angebadili Katiba ili aendeleee kuficha uovu....ndio maana aliaanza na bunge la kijani tupu.