CAG aongea na waandishi wa habari - Aprili 8, 2021

CAG aongea na waandishi wa habari - Aprili 8, 2021

watu wanapiga sana pesa za serikali nangoja cag atoe riport pesa za maandalizi za mazishi ya makufuli
 
... unapenda kweli kuwahi kuleta habari but with no details or very shallow. Usiwe unakimbilia ku-post; unaziba nafasi ya mwenye nia ya kutuletea habari kwa ukamilifu! Hata hizo UPDATES zako zitakuwa very shallow I guess!
Mataga acheni hasira ..
 
ajabu sana nchi hii tutaletewa ripoti ya CAG walaji wanaotajwa hatuoni kushughulikiwa na baada ya muda itaisha hivihivi halafu inakuja ripoti nyingine akili ya watanzania inahama kwenye ripoti mpya yaCAG ile ya zamani wanaisahau
 
... unapenda kweli kuwahi kuleta habari but with no details or very shallow. Usiwe unakimbilia ku-post; unaziba nafasi ya mwenye nia ya kutuletea habari kwa ukamilifu! Hata hizo UPDATES zako zitakuwa very shallow I guess!
Kesho magazeti yatamwaga sera balaa
 
Niliwahi kuandika humu awamu ya tano ndio awamu ambayo itafanya ufisadi wa kutisha kuliko awamu zote....
Haya kiko wapi, marehemu na vijana wake wametafuna pesa za walalahoi.
Wakija mtaani wanaleta soga za "wanyonge" kumbe wanapiga mishindo mikubwa mikubwa.
CCM ni tatizo kubwa sana ndani ya hii nchi, angalia anachokisema spika juu ya ATCL huo si unafiki wa ajabu!!!
Hayati has gone down as one of the corrupt presidents ever in Tz, na ndio maana alitumia mkono wa chuma kuongoza kumbe anaficha mauozo.
 
Tamasha la utalii pana upigaji wa takribani 1.5 B maana tamasha hili halikuwemo ktk bajeti za wizara ila iliamuliwa kila mamlaka chini ya wizara kutoa 250m kufanikisha na fedha hizi matumizi yake CAG hakupata vielelezo, ambapo Clouds walilipwa 600+m na TBC 250+m lakini malipo haya hayakuwa na uthibitisho maana risiti za kielektroniki hazikutolewa
wafanyakazi wa TBC na Cloud wazitapike izi hela
 
... unapenda kweli kuwahi kuleta habari but with no details or very shallow. Usiwe unakimbilia ku-post; unaziba nafasi ya mwenye nia ya kutuletea habari kwa ukamilifu! Hata hizo UPDATES zako zitakuwa very shallow I guess!
Kwani mwenye details anazuiwa kuleta
 
Huyu huwa anapost huku anakata gogo.
 
Kwani mwenye details anazuiwa kuleta
... mods wanaunganisha. Utakuta thread yenye details za kutosha inaunganishwa mwishoni mwa shallow thread hivyo kuwa vigumu kuonekana. Wakati mwingine wengine wanawahi kuanzisha thread kwa makusudi ili kuhakiksha detailed ones hazionekani kwa urahisi.
 
huyo mama aliyekaa karibu na CAG anaonekana kama anamkebehi kwa jinsi anavyomwangalia,ni nani huyo?
 
Back
Top Bottom