CAG aongea na waandishi wa habari - Aprili 8, 2021

CAG aongea na waandishi wa habari - Aprili 8, 2021

CAG: MIRADI INAYOTEKELEZWA INA TOZO YA RIBA YA BILIONI 14.9

Mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali(CAG) amesema miradi mbalimbali inayotekelezwa nchini ina riba ya bilioni 14.9 kama adhabu ya kuchelewesha kulipa hati za madai ya wakandarasi kinyume na masharti ya mikataba

Hizi ndio mama alisema watu wanachelewesha malipo ili wazipige wao.
 
Tamasha la utalii pana upigaji wa takribani 1.5 B maana tamasha hili halikuwemo ktk bajeti za wizara ila iliamuliwa kila mamlaka chini ya wizara kutoa 250m kufanikisha na fedha hizi matumizi yake CAG hakupata vielelezo, ambapo Clouds walilipwa 600+m na TBC 250+m lakini malipo haya hayakuwa na uthibitisho maana risiti za kielektroniki hazikutolewa
Na yule Dr. Abbas alikuwa mratibu wa hii kitu...
 
Taifa hili chn ya maccm hakuna jipya kbs ndiyo yamefilisi kila ktu kbs na yanajijua katiba mpya ndo burian yao hayatak kuiskia kbs majiz jizi tu

Na mengne yako humu mataga yan ujinga ujinga hzo pesa zoote wanakwapua ni wanaccm siyo mbowe, siyo lissu wala siyo mnyika lakn sasa mataga humu unakuta yanakomaa na viongoz wa chadema utadhan hata wanajua kodi huwa znaenda wp

Hzo pesa zngetosha kupata zahanati ngapi na vfaa tiba kiasi? Zngetosha kupeleka maji mpk wp kwny taifa hli? Majitu yanaiba majiz jiz na lichama lao la mboga mboga

Nasubiri msmamo wa mama khs yale ma mama covid 19 yaliyowekwa bungen na ndugai knyume cha katiba. Inatakiwa wote wakamatwe na ndugai akamatwe na yule msaidz wake bi kiroboto.
 
Sasa nimegundua kwann maccm hayataki kutoka madarakani huu ujambaz yanayofanya hv sku haya majambaz mataga yaktoka madarakani halafu makamanda wakafanya ukaguzi si utakua msba mkubwa sn aisee
 
Ni jambo gani hasa anaongelea? Hatutaki taarifa nusu nusu, kwani taarifa si tayari ipo Bungeni? Au ameamua kuonyesha ambayo Hayati hasingeyafurahia? Je, yatakuwa ya kweli? Au kamaliza tayari uchunguzi aliyoagizwa na mhe. Rais?
 
Back
Top Bottom