Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,308
- 21,507
Kumbe kelele zote zile alipoona CAG anatoa report ya akaona kimewasili..!!Kigwa kaingia nyavuni,.
Tusubiri tuone MENO YA MAMA!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kelele zote zile alipoona CAG anatoa report ya akaona kimewasili..!!Kigwa kaingia nyavuni,.
Hilo ndilo deals za Dr Kigwangalla. Awajibishwe tuTamasha la utalii pana upigaji wa takribani 1.5 B maana tamasha hili halikuwemo ktk bajeti za wizara ila iliamuliwa kila mamlaka chini ya wizara kutoa 250m kufanikisha na fedha hizi matumizi yake CAG hakupata vielelezo, ambapo Clouds walilipwa 600+m na TBC 250+m lakini malipo haya hayakuwa na uthibitisho maana risiti za kielektroniki hazikutolewa
... unapenda kweli kuwahi kuleta habari but with no details or very shallow. Usiwe unakimbilia ku-post; unaziba nafasi ya mwenye nia ya kutuletea habari kwa ukamilifu! Hata hizo UPDATES zako zitakuwa very shallow I guess!
Dr Kigwangalla anataka kuwa Wakala wa chanjo!Hilo ndilo deals za Dr Kigwangalla. Awajibishwe tu
Hahahaaaa...... Genta ndio anabadilika kila siku kwa sababu ni muoga!Dukuduku lako umetuwasilishia wengi Ndugu na umesema vyema kabisa kwani Jamaa anaboa japo lenyewe hudhani kufanya Scooping ( tena hata isiyo detailed ) ni Sifa ya Kiumaarufu hapa JamiiForums.
Sasa bora basi ziwe hata zimekamilika 100% ila nyingi kama siyo zote huwa hazikamiliki na Yeye furaha yake ni Kuona tu amekuwa wa Kwanza Kuileta hapa Jamvini.
Kama ni katika Mchezo wa Ndondi ( Ndonga ) hii post yako yenye Ukweli mtupu Kwake ni sawa umempiga Ngumi Moja Takatifu ya Chembe na Kichwani ambayo imemlaza chini Kimoja na kukupa Ushindi ' Mujarab ' kabisa TKO.
Na lilivyo na Kiburi wala halitobadilika!!!
You are a wildebeest carcas to say the least! Hizo ni tit bits za presser ya CAG kama unataka habari kamili weka bando nenda online mwenyewe kama ni kapuku huna bando keep your mandibles shut, the willing wanufaike na hizo nyepesi nyepesi! Narabuk!... unapenda kweli kuwahi kuleta habari but with no details or very shallow. Usiwe unakimbilia ku-post; unaziba nafasi ya mwenye nia ya kutuletea habari kwa ukamilifu! Hata hizo UPDATES zako zitakuwa very shallow I guess!
Hana kazi lakini ana pesa ya bando kwenda online kumsikiliza CAG direct! Makapuku mnachekesha, hamna ndululu kazi kubeza wenzenu!Ni tabia ya mtu ambaye hana kazi mkuu
Na wapo wakupata Z sio F ........ Afanaleki nipo kwenye taharuki kubwa yaani 18Bn zinakusanywa then hazipelekwi benki doooh!
Tatizo ni kwamba either alikatazwa au alisahau kusema, na aliyejaribu kusema alijikuta hana huo U-CAG
Ndio maana jamaa akauliza haya yanayosemwa leo yalitokea lini (sababu kwa alivyokuwa kimya majuzi unaweza ukasema yametokea jana)
Injinia soma hiyooooo89 zilizotumiwa na makumbusho ya Taifa kwa matumizi yasiyoendana na shughuli za utalii.
nimekua napenda sana historia na maeneo haya ya vivutio.ila nimeona kitu hapo National Musuem hapako katika viwango vya ubora .
kwa nini tusichkue wataalam hata kwa majiran zetu ,exhibitions are not properly organized.
historia ya nchi hii ni kubwa national musuem ndio sehem mtu mgen akifika for the first time anafika pale,maana ndio anaelewa jamii yote ya nchi ile,
ushaur Nationa museum irekebishe setting ya exhibitions iendane na content kuwa na lights za kutosha display ziwe za ubora na kiwango cha kimataifa.funds are every where
Hahahaaaa...... Genta ndio anabadilika kila siku kwa sababu ni muoga!
Na lilivyo na Kiburi wala halitobadilika!!!
Hivi kuna ID hapa JF ya hilo Jina Ndugu?Huyu jamaa anaweza kuwa anamzidi Prognosticator kwa Kiburi.
Hahahahahahahaha Bwana Dudus ....... unapenda kweli kuwahi kuleta habari but with no details or very shallow. Usiwe unakimbilia ku-post; unaziba nafasi ya mwenye nia ya kutuletea habari kwa ukamilifu! Hata hizo UPDATES zako zitakuwa very shallow I guess!
Nasubiri report ya ununuzi wa yale madege tu uwenda ikawa n htr sn upgaji
Na uwenda hayo mabilion yamekwapuliwa na maccm wkt wa kampen za meko eti haijulikani zliko.
Ndio maana amekua akijikombakomba maana ya Utalii yanamuhusu yeye, alipiga 1.5bn na kina Steve Nyerere eti anatangaza utalii!Kumbe kelele zote zile alipoona CAG anatoa report ya akaona kimewasili..!!
Tusubiri tuone MENO YA MAMA!