CAG Mstaafu Prof Mussa Assad: Kuna Waziri Kijana ana ukwasi wa kutisha miaka mitano tu madarakani!!

Pasco ni wakili ila hana hayo madude na mbaya zaidi ugali wake anaupata jambo TV ikiwa watasalimika kifungo pale wanapomuhoji. Kweli tunatofautiana
Mkuu Jisamu, G Sam , kila mtu na bahati yake, mtoa rizik ni huyo huyo mmoja, na hutoa kwa zamu, kwa vile bado niko hai, inshaalah zamu yangu ipo itafika, na ikitokea nikiitwa kabla haijafika, nitakuwa sikuandikiwa kwa dunia hii, hivyo nitaikuta huko niendako!.
P
 
Ila nipashe kweli wamepasha, anyway Prof, Kuna sehemu aliteleza tu kweli tuna mawazir vibaka ila hakuna aliyefikisha Dola billion moja
 
Na Kodi ya analipa?!
Kwa Tanzania, tax affairs za watu is a private affairs, mimi nilishauri tax affairs za kila mtu should have been open, public and transparent, mtu akigombea uongozi siku anaingia, tujue ameingia na mali gani, na siku anaondoka tujue amechuma kiasi gani, tena nikashauri kila mtu alipe kodi na awe proud kulipa kodi. Kuepuka Double Standards ya Kodi, Nashauri Rais Uongezwe Mshahara, Ili Alipe Kodi, Wote Tulipe Kodi! na Big Up, TRA Kutumia Media Kuelimisha Umma Elimu ya Kodi na Umuhimu wa Kodi Kila Mtu Alipe Kodi. Je Wajua Viongozi Wetu Wakuu Hawalipi Kodi?. Kwanini?!


P
 
Kwa kuwa wewe ndiye mwenye kipimo cha "usafi" wa hao watu, ndiye unayeshikilia 'patent' zote za "ukweli"!
Pathetic.
Mimi ni mpenda haki, muwaza haki, msema haki na mtenda haki, ikitokea mtu anatuhumiwa kwa majungu, na huku mimi na ukweli wa mtu huyo kuhusu usafi wake, naujua, huwa sinyamazi, nitausema ukweli wa kile ninachokijua!, huyu kijana, baba yake ni msafi, Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour" na mtoto ni like father like son Live on TBC: Ridhiwani Kikwete yuko live, anaongea kama Jakaya Kikwete. Like father like son, atatufaa sana in future baada ya zamu yetu! kama kuna machafu ya sirini, yawekwe upenuni sio kutaka kuchafua watu kwa uongo, fitna na majungu!.
P
 
Mimi ni mpenda haki, muwaza haki, msema haki na mtenda haki, ikitokea mtu anatuhumiwa kwa majungu, na huku mimi na ukweli wa mtu huyo kuhusu usafi wake, naujua, huwa sinyamazi, nitausema ukweli wa kile ninachokijua!, huyu kijana, baba yake ni msafi, Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour" na mtoto ni like father like son Live on TBC: Ridhiwani Kikwete yuko live, anaongea kama Jakaya Kikwete. Like father like son, atatufaa sana in future baada ya zamu yetu! kama kuna machafu ya sirini, yawekwe upenuni sio kutaka kuchafua watu kwa uongo, fitna na majungu!.
P
 
Watanzania wanayajua yote hayo na ndiyo maana hawakushiriki uchaguzi.
Na siku ccm wakiruhusu tume huru hiyo ndiyo utakuwa mwisho wao bahati nzuri wanalijua hilo
Tunaambiwa waliopiga kura ni zaidi ya 90% ya wapigakura walioandikishwa; watanzania gani unaosema hawakushiriki?
 
Takataka za namna hii ndiyo zinazokufanya uonekane kuwa mpuuzi hadi uzeeeni..
Unapotumia maneno kama "HAKI, UKWELI" kana kwamba wewe ndiye mmiliki wake unajionyesha kuwa na fikra mbovu kabisa.
Wewe hao watu unaowatetea ni wake zako au waume zako au baba zako na mama zako?
Hata kama wangekuwa hivyo, utajuwa vipi ukweli wote juu yao.
 
Moshi ufukapo... , si bure 😢
 
Tutajie mkataba mmoja aliousaini akapewa US$ 1M
 
sha kawa wakili, just a single deal wakili anaweza kuvuta mpaka US$1.M, hivyo kama ni huyo namjua anatoka familia bora!.
Wewe "ni mkweli", unayezungumzia mtu tofauti na huyo anayejadiliwa!

Tanzania hakuna wakili anayelipwa $1 million; unazungumzia kampuni inayoweza kulipwa kiasi hicho; hakuna kampuni ya uwakili ambayo ni ya mtu mmoja.

Hata yule mzee wa Mara mwenye kibarashishi na kampuni yake hawakuwahi kulipwa kiasi hicho..

Lakini zaidi ya yote hayo, tunarudi kulekule kwa ukanjanja wako; hao wanaolipwa milioni moja, hiyo ni kazi ya kulinda wezi wa mali za taifa hili.

Ni wazi wewe unatembelea kwenye majalala hayo hayo ya uchafu; na ndiyo kazi unayofanya humu JF.
 
Mkuu youbare being naive.
Neno haki ni subjective.
Wameuwawa watu 500 na ushee, haki yao wala hatujui tutaipata wapi.
Hivyo basi kiongozi mstaafu na mwenye upeo na uzoefu kama CAG, akitoa tuhuma nzito zinazoashiria rushwa kubwa kubwa, nitauliza tu swali maarufu WHO ARE YOU kuingia utetezi ?
Ati majungu.
Mtu mwenye akili njema angesema CAG asubstantiate na uchunguzi ufanywe kwa maslahi ya Taifa.
 
Mkuu you are being naive.
Neno haki ni subjective. Wameuwawa watu 500 na ushee Oky 29 2025, haki yao wala hatujui tutaipata wapi.
Hivyo basi kiongozi mstaafu na mwenye upeo na uzoefu kama CAG, akitoa tuhuma nzito zinazoashiria rushwa kubwa kubwa, nitauliza tu swali maarufu WHO ARE YOU? kuingia utetezi ?
Ati majungu.
Mtu mwenye akili njema angesema CAG a substantiate na uchunguzi ufanywe kwa maslahi ya Taifa.
 

hivi unaijua dola usd milioni 1 kweli? wakili wa tanzagiza akalipwe 1 million us dollars kihalali? kwanza hata dola laki moja kulipwa kihalali kwa kazi halali hata ya mikataba kwa tanzagiza ni nyingi sana ...
 
hivi unaijua dola usd milioni 1 kweli? wakili wa tanzagiza akalipwe 1 million us dollatrs kihalali? kwanza hata dola laki moja kulipwa kihalali kwa kazi halali hata ya mikataba kwa tanzagiza ni nyingi sana ...
Chenge akilipwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…